@hamiducitypark: Taarifa ya Ujenzi wa Nyumba ya Vyumba 2 Ujenzi wa nyumba zetu za vyumba 2 unaendelea vizuri. Tupo hapa kuhakikisha wateja wetu wanapata taarifa kwa uwazi na kwa uaminifu katika kila hatua ya ujenzi. Tunaamini kuwa kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi mara kwa mara hujenga imani na kujiamini kwa mteja, kwani anaweza kuona hatua ya uwekezaji wake na kuwa na uhakika kuwa anawekeza kwenye bora inayojengwa na kukamilishwa kwa wakati. 📞 Kwa maelezo zaidi na booking: +255 659 500 100 +255 655 738 017#tanzaniatiktok #daresalam #uae #zanzibar #usa