@minded_tips: #creatorsearchinsights #creatorssightinsights JIFUNZE KITU #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok

Minded tips
Minded tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 07:48:55 GMT
157710
5973
518
1823

Music

Download

Comments

zawadi15823
Only💕 :
kumbe na mm mchawi nauza samaki
2026-08-13 13:57:24
162
winnie____bella
Winnie :
Mariam uswazi😳
2026-09-20 18:39:13
59
aisha.hussein560
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Ila we kaka ko na mama angu muuza samaki ni mchawi😂😂😂😂
2026-09-21 07:19:43
29
___zaicloset
zai closet 🛍️ :
Miguu ya kuku ndimu 😛pilipili pepsi ya baridiii 😋😋acha nile uchawi tu 😂😂😂
2026-09-20 17:13:43
45
mrs.muu073
Mrs Muu💋 :
weeee koma mama angu anauzwa vitafunwa hata mganga hamjui
2026-08-14 14:15:12
54
flora66025
flora66025 :
ndo mana hizo biashara zinafanyika zaidi usiku🤣☺️☺️
2026-09-08 12:15:10
34
tausitz26
🆃-🅼🅾🅽🅴🆈🦚💰💦 :
muwe mnasema mapema jamani 🥺🥺
2026-08-13 08:27:15
56
belindawilson209
Bella ❤️‍🔥❤️‍🔥 :
Kuna mama mmoja tandika pale anauza samaki jioni yan akifika watu wanagombania kabisa kabla hajapanga kweny Meza na anamaliza chaap na sio kwamba yuko mweny mweny wapo wengine
2026-08-20 12:30:12
9
mo_mr_paxtu1
CAPTAIN MBASA :
kwakuwa wazai wako na uko wenu mna maisha mazuri acha wazazi wetu uwaite wachawi ila izo biashara ndy zimetulea sisi mpaka kifika katika nafas hii Asante kaka mungu akubariki
2026-09-18 20:50:07
19
rehemakitime
[email protected] :
Kuna mmama alikamatwa pale mshindo iringa,,alikua anauza samaki miaka mingi siku mteja kaenda akaona lile jalo analogeuzia ni mkono wa mtu na sio jalo kama wengine wanavoona,mazaa alikimbia mji.
2026-09-20 15:04:22
5
_kelvinimpact
kelvinimpactbackup :
wanachuo Mungu atulinde
2026-08-13 15:07:30
14
natchie_kylie
Natchie💜 :
mtumeee nimeshakula uchawi😂😂
2026-09-20 10:49:29
5
lawrygabs01
@Madam Lawrean :
apo kwenye vitafunio ninaushuhuda 🤣🤣🤣🤣niongee kwakusimama au kukaa
2026-08-14 13:30:16
11
chunni462
chunni :
Kweli kabisa siyo uwongo 🙌🏽
2026-08-13 13:06:15
6
goodsmile176
Goodsmile💞💞 :
hata wauza chipsi hawa ogopa sana
2026-08-13 12:29:25
8
user2523519284231
Mariam :
natamani kutoa ushuhuda,sema nikiandika hapa nitabid nikatekate text maana inanilimit
2026-08-13 11:20:29
12
treyshan_
treyshan🇹🇿💕 :
Kwahiyo tusile
2026-08-13 15:27:12
5
mr.ch3ngine
Cayden_Tz :
hapo kwenye samaki
2026-08-13 09:44:35
5
user6910531801274
user6910531801274 :
Kuna mama anauzaga miguuu ya kuku , vicha anaanza sa 2 usiku kukaangaa ,jamani sijaelewa , tangu nimenunua siku moja nikaonja jamani sirudii tena
2026-08-13 08:33:37
8
venny354
venny💜 :
😂😂😂mm nilinunua nikaenda kuota n mapaja kama vile ya mtu mpk leo siendag tena
2026-08-13 09:09:05
6
withcandy4
CANDY Store🛍️🛒 :
😂😂😂😂😂😂😂 Kwahy nilikuwa mchawiiii
2026-09-21 01:15:38
1
tunda.cakes
tunda cakes :
nilipita sehemu fulan nikanunua vigondi vimekaushwa ila vinanuka damu😁😁
2026-09-22 19:12:57
1
sophdacute
sophy cute :
huku kwetu chànika Kuna sehemu Kila nikinnua samak lazima ntapike had dam ilintokea kama mara tatu nimeacha
2026-08-21 19:11:10
2
hamisasimtanda
Hamisa Ramadhan 🥤🍉 :
hiyo kitu inanitokeaga sana unakuta roho inakataa kbsaaa
2026-09-01 07:39:20
3
To see more videos from user @minded_tips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About