😂😂😂😂😂😂 yaan leo umenikosha ngoja tuuh nikufollow sina jinsi 🤣🤣
2026-08-13 08:24:14
23
Calvin Marcus :
ata mimi maana sio kwa hali hii ninayoipitia ila sema simba naamini haiwezi kuniwekea sumu kwenye chakula
2026-08-13 08:29:26
29
Cprian John :
uko kubaya kaka tutakuombea free sam khan
2026-08-14 04:55:54
9
tahmedy abubakary :
Suluhisho ni kuhama na sio kujipa maumivu ya moyo
2026-08-13 08:19:50
6
πiph£r 🌹 :
unaamka na furaha zako gafla unakumbuka wewe ni shabiki wa simba
2026-08-13 11:14:30
7
Minah 16 :
hakii tena tunavoivumilia hii timu mhh
2026-08-13 09:56:03
5
Farida luziga🫐 :
wanaosema Simba wacheza taarab gonga like hapa
2026-08-13 08:18:51
8
ade popy :
wanangu msikate tamaa wanangu mm nampango. wa kuomba ligi ya ngumi mana mpila umetushinda tupigane tu simba na yanga asila zetu ziishie tu kwny dondi bs
2026-08-13 12:27:05
6
Abuu mkal🏴🇺🇲 :
kwan ile ni VAR au walkua wanarusha nyimbo
2026-08-13 11:47:38
27
Janeth Thomas140 :
kabisaaa😂😂 njoo unioe tuvumiliane
2026-08-13 08:39:57
10
feidhuu :
me ndy hata siwazi jamani ila kuipenda siachi bhn tangu utotoni naipenda simba na itakuwa milele.mwanasimba aje anioe2 tuvumiliane ze2
2026-08-13 11:45:03
6
Ephrazia bahath :
mim hata hainishtuii cku iz yote kwang ni kawaidaaa ndo nazid kuipendaaa mwenyeweee simba yng😂😂
2026-08-13 08:30:53
15
user4173652681843 :
dar umetisha hatamimi naweza sasa kuishi na mke
2026-08-14 13:32:39
2
AISHA 📿🕋💞 :
igwee simba forever
2026-08-14 04:50:49
1
To see more videos from user @.sam_tz, please go to the Tikwm
homepage.