@mdimi191:

Mdimi
Mdimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 08:10:09 GMT
150888
6297
636
356

Music

Download

Comments

liones453
H.a.p.p.i.e Tz🫧🦋 :
Mwambie Diamond dada please 🥹😂
2026-08-13 14:33:30
178
young_child_0g
it's shizzy✨🥷 :
Bora wagawane ndugu zangu bhn
2026-08-14 11:44:18
49
richard.mkanula
Richboe tz :
wenye msimamo wa kumuandika mama gonga like hapa
2026-08-14 20:36:58
151
challety5
challety :
😂😂😂 aweee bora nijiandike mm
2026-08-13 10:03:54
22
aman.0147
Aman 01 :
Namuandika mama na yeye ananiandika Kama msimazi wa mali zake
2026-08-14 10:11:11
42
luxadry2412
@Mufasa :
bora hii kuliko upande wa pili wa shilingi
2026-08-13 18:56:03
36
lennyp46
Stranger :
Naandika mali ya mama kisha namwambia aandike wosia kuwa mali zake zote aliridhi mimi alafu huo wosia naenda kuufunga kwa mwanasheria usifanyiwe mabadiliko yoyote simple tu
2026-08-14 09:32:41
27
user28276605500665
user28276605500665 :
bola afaidi mama angu kuliko mtoto wa mama mkwe aise
2026-08-14 09:37:52
32
meryshekoloa
Mery Shekoloa :
mama aandike kwamba nampa mwanangu zawadi imeisha
2026-08-13 17:43:45
7
fredy.mlonganile7
Fredy Mlo :
Hakuna kitu mnaweza nishauri juu ya mali zangu namuweka mama for life...😂😂
2026-08-22 13:17:17
11
mjemaboy4
mjemaboy4 :
Bora ni firisiwe na mama yangu kuliko lijitu ambalo halinijui
2026-08-13 20:41:11
13
mgangamungumitishambaima
JJ_OUTFITS :
kwani akila mama kunashida au wakila ndugu zangu kunashida🤣🤣🤣🤣
2026-08-13 18:29:17
12
tuktane_
Karibu kwetu :
Wengi wanafanya hivyo kwa chuki tu kwa wake zao ila pia ni kutokuwa na elimu
2026-08-13 15:27:04
9
elishamushi702
mushi,mushi :
mimi mali yangu yote nimempa mdogo wangu wa kike atajua mwenyewe afanyie nini mimi sio shida zangu 😂😂
2026-08-13 19:05:30
9
adeecom255
Adeecom :
Bora kuliko kumwachia mwantumu
2026-08-14 16:11:29
8
hamissanga02
divinerchuma20 :
Mali ni vitu vya kupita Tu!! 😳😂
2026-08-14 08:57:36
5
bilasahoseaandrew
BILASA :
sawa tu kuluko kuteketea upande wa pili
2026-08-13 19:11:42
8
1225lux
Lux Mund :
kwa nini nidai na ni mama yangu
2026-08-13 17:02:07
5
lubacha114
LUBACHA :
Bora wagawane ndugu tuu siyoo mwanamke anitapeliii
2026-08-31 19:36:42
0
familia.kibena
Familia Kibena :
amna shida wagawane tu awo ndugu zangu mim nimerizika 😂😂😂😂😂😂
2026-08-14 12:34:17
3
amosstanslaus7
AMOVIC M.V.P :
hakuna mtu mwenyew uchungu wa maliza za mtoto kama mama kwa namba yoyote ile
2026-08-20 09:26:50
1
alnuhu.com
nuhu.com :
ni sawa tu,tunaepuka matapeli wanaopitia nia ya ndoa
2026-08-17 04:13:45
1
pentruellpeter0915
Pentruell Peter Pen :
mam n mam tuh no matter what acha tamaa na kuktixh tamaa vjna bi msumi ww
2026-08-14 21:34:09
0
To see more videos from user @mdimi191, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About