@hamza_afya_clinic: 🥬 Kabichi – ina nyuzinyuzi na wanga kidogo. 🥚 Mayai – ni chanzo kizuri cha protini. 🥕 Karoti – zina nyuzinyuzi na vitamini muhimu. 👉 Muhimu ni kuzingatia kiasi na namna ya kupika, hasa kuepuka mafuta mengi na sukari iliyoongezwa. #Kisukari #LisheYaKisukari #VyakulaSalama #Afya #Diabetes

Dr Hamza
Dr Hamza
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 08:53:02 GMT
1654
25
0
9

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hamza_afya_clinic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About