ngoja nisimulie kidogo niliwahi kwenda geita kumsalimia Dada angu Sasa bhana akaja kunipokea akasema twende tukapande daladala mie tena Sawa nashangaa anaenda sehemu zimepaki baiskeli eti sehemu flani bei gani wale jamaa wakataja bei nyie nilichoka yani njia nzima nilikuwa nacheka nusu kuanguka mpaka nafika mbavu Sina tena unakaa ulie mkao wa kiume unashikilia kiti wanakimbiza balaaa 😂😂😂😂
2026-08-13 16:52:10
304
Martha cute🥰 :
Kwan tabora hamna pikpik 🥺
2026-08-14 05:57:29
79
ommy mtalibani :
Natafuta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net, mbu wataniua jamani 🥺
2026-08-15 10:13:28
80
Lily :
iyo ndo tbor yetu nimepamis san😃
2026-08-13 11:07:30
95
dommytozzy🏀🏁 :
duu menikumbusha mbal xn blood 🤣🤣
2026-08-13 10:19:30
17
secilia elieza💓 :
tabora oyeeeeeeeeeee
2026-08-13 17:21:01
20
it's.salmahanaah :
kuna kipindi nauli ilipanda hadi 700, wana Tabora tukaanza lala mika😂😂😂
2026-08-15 05:33:44
19
@Revoobit International :
Ila jaman nimepamis sana Tabora,,,wanangu wa Tabora gather here..
wallah before the end of this Year,,
I have to go Unyamwezini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-13 22:05:33
9
Çhriss Montana :
najua umeshika simu yako kwa mkono wa kushoto like apo we ni mwanangu🤣
2026-08-23 10:08:52
12
Miss Lydia 🦋 @tabora :
usafiri miatano tu unafika unako enda Tabora 🥰
2026-08-13 18:14:26
5
Rey wa jey :
msitucheke jaman karibun San tabora pande za ng'ambu apa
2026-08-15 07:43:28
8
efa g :
😂😂ni kweli kabisa ila baskeli ilishanishinda🙌kuna day nilipanda nkadondoka katikati ya lami hapo maeneo ya polisi jirani na uhazili
2026-08-16 08:23:45
8
masoud Mbeho :
hahaaa haya watabora tujuane jamani na mimi nipo
2026-08-14 13:42:08
5
🧸naah☆.!✨️🫧🤎🦋 :
ila taboraa😂😂😂 ndio mkoa pekee uliobaki na daladala baskel😂😂😂 my heart inauma uku unachke
2026-08-14 19:43:48
5
~Mamu :
Tabora na shinyanga shikamooo🤣😂🤣
2026-08-13 15:35:46
5
Millah beauty Point :
Ila hom sweet😁😁
2026-08-13 18:30:39
5
maishayoel :
hata dar huku africana mbona zipo😂
2026-08-18 06:22:51
5
Shark☘️ :
hahaha mpk mwinyii kanisa la miti 500 tu😁😁
2026-08-13 09:27:00
5
tatu jumbe :
unaweza panda ya kwenda Kidatu mtoto akapanda ya kwenda kanyenye Hy ndio tabora😁😁😁
2026-08-13 10:22:32
47
Hussein Ndabalinze :
waambie tu naenda igunga wtaacha ndala
2026-08-13 11:31:08
5
wemaomary4 :
mbona tabora sionagi😂
2026-08-13 19:16:59
7
phinajustine34 :
Kuna siku nilipanda Akhii nilichoka kuliko muendeshaj😅
2026-08-15 06:13:42
20
Eng.KelvinM :
kuna mtu nilikua napiga nae stori aliniambia wapo wengine wanapewa baiskeli za mkataba kwa siku afu nane 😆😆😆😆😆😆😆😆😆
2026-08-14 07:44:44
8
Emryn Cosmetics :
😂😂 umenikumbusha mbalii Natoka uzunguni mpka mwinyi secondary kwa daladala baskeli..Nyie 😂😂😂😂 by the way Huu ndio usafiri wetu pendwaa... Umefanya nimiss kurud nyumban 🥰♥️
2026-08-13 14:23:35
6
To see more videos from user @drey__og, please go to the Tikwm
homepage.