USTADH KATI YA MAKKAH NA MADINA KUNA UMBALI GANI AU KILOMETRES GAPI
2026-08-13 13:38:21
7
QANUNI :
WALIO WENGI HUSAFIRISHA KWASABABU HUKU TOWN INAFIKA KIPINDI WATU WANAFUKUA MAKABUR WANAFANYA MAKAZI MAKABURI YANAPOTE SASA TUTAZURU VP MAKABURI YA NDUGU ZETU ? LAKINI PIA UNAKUTA SEHEM NYINGINE WATU WANACHIMBA KABURI WANAKUTANA NA MAFUVU YA WATU WALOZIKWA ZAMANI. ME NAAMIN KATIK KUTAKA KUWASITIR KWEL NDUGU ZETU NI BORA KUZIKA KIJIJINI . SWALI LANGU JE KWAKUHOFIA MAMBO HAYO INAFAAA KUSAFIRISHA?
2026-08-13 16:12:04
5
BIN HAMDOUN :
ushahidi shekhe
2026-08-13 16:32:20
1
MTEPA0210 :
sio haramu shekh hakuna hadithi wala aya inayosema kua maiti ikisafirishwa kutoka sehemu moja kwnda nyengne au mkoa mmoja kwenda sehemu nyengine, ispokua tu. mtume s.a.w alisema "harakisheni mazishi" kwahyo hakuna uharamu..
2026-08-14 08:04:27
7
Pinky :
Akifia India na kwake ni Tanzania inakuwaje. Mwenye ulewa anisaidie jamani
2026-08-14 09:42:20
0
user7463278123571 :
Mambo ya kizamani hayo usafiri ukiwa mgumu
2026-08-14 05:22:44
0
Sele & kaskaz furniture :
kwan maka na madina ni km ngapi?
2026-08-14 21:41:01
0
PABLO,,05 :
kwann lushoto😅
2026-08-15 10:52:13
1
user24310197081593 :
shekh tunakosea sana mana watuwengi tunasafirisha mait sana
2026-08-13 15:04:48
7
Ink :
mbn nabii YACOB (A.S) alifia misri lakin alisafirishwa kwenda palestin?
2026-08-17 06:29:26
0
KadwekaJr :
ukaribu wa kirometa ngapi?
2026-08-14 11:44:08
1
user7734999518246 :
mtaelewa tu endeleeni kusoma
2026-08-15 07:14:07
1
𝒩𝒶𝓈𝓇𝒶𝒽 𝓘𝓽’𝓼 🤍 :
😂😂Why lushoto
2026-08-13 22:36:14
2
haile_.maryam :
Ana pa kuzikwa hapo dar
2026-08-13 17:32:46
2
thabitally437 :
Asante shekhe
2026-08-13 20:13:23
1
King Mac :
Hiyo ni tamaduni ya nyakati zile wakati mwili kuhifadhi ilikua hamna na usafiri ukawa mwendo pole pole, na joto lile inabidi mtu azikwe haraka.
2026-08-14 14:21:56
1
Ashura Simeo Michael :
umenifumbua macho
2026-08-13 15:33:48
1
Dr.Dre :
kuna jinsi ilivyo na inavyotakiwa kuwa, wakati huo magari kulikua hakuna wange safirishaje?
2026-08-14 17:34:57
0
0-factor :
vp hawa ndg wa nabii Mussa waliohamisha mifupa ya babu zao mbele ya nabii Mussa nini muongozo kuhusu hili tukio
2026-08-15 15:06:01
0
user3660581998131salmin singo :
mbona umetaja lushoto
2026-08-15 15:22:26
0
Dotto bike :
fact
2026-08-15 17:56:23
0
Haji Abdullah :
jazzakumullah
2026-08-16 07:37:15
0
user57137683253277 :
kwanza garama
2026-08-15 16:10:50
0
Karimu Dzeko Tz :
wosia ikiwa???
2026-08-13 18:08:19
1
To see more videos from user @mkuraysh, please go to the Tikwm
homepage.