@risaladawaah: Je Mtu anafaa kuanza na magoti au mkono katika kusujudu || Sh Said Bafana || #fyp #bafanabafana #reminderislamic

Risala
Risala
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 13 August 2026 11:46:40 GMT
231291
25726
127
1193

Music

Download

Comments

mohamustafa615
oxygen Man :
huyu sheikh MashaAllah Allah akuhifadhi, namkubali mawaidha yake hua yana busara sana
2026-08-13 19:05:45
101
hamzaramadhan12
user7220041608871 :
kwani ilikua ngumu kusema tutangulize mikono au miguu?
2026-08-13 18:06:01
27
side.mnane
Mr universe :
takbir
2026-08-13 12:51:56
6
ustadhimakaburi
Ustadhi Makabur :
nadhani hapa shekh bafana hajaelewa,miguu na mikono za mnyama tayari ziko aridhini,kwahiyo mnyama hutanguliza magoti, kwahiyo qauli sahihi tutangulize mikono
2026-08-14 04:56:39
6
starbega504
Kimly👊 :
shekh albani katika durus zake anasema tutangulize mikono na ndo kaeleza ivo kuwa mtume ndo alivosali apo inakuaje.
2026-08-13 17:57:06
9
omarzahoro321
OMAR ALFARUQ :
واليضع يدؤه قبل ركبته
2026-08-14 11:02:43
2
omarmaleta368
@AbuuAynurOmarMaleta :
sheikh kasoma hadithi bila kumalizia mbaka mwisho
2026-08-31 13:48:29
0
lorotdesonoftheman
BODYGUARD:023:TKN :
asante saana my sheikh bafana
2026-08-13 12:17:14
13
mwanahamisikitimb
🍒🖇️ Qalbie 🫀❤️!, :
Mashallah shukran 🤝
2026-08-14 07:02:08
1
user44599482172780momo
Aysher binti Athumani🇹🇿🇸🇦 :
me nishazoea kutanguliza miguu
2026-08-14 14:03:44
5
abushaz1
AbuShazz :
Hii hadithi ipo sheikh
2026-08-13 18:41:34
7
khalefsalum
الطيواني :
kutanguliza magoti ndio sahihi na ndio inaleta unyeyekevu zaidi
2026-08-16 17:27:34
2
sikudhani.hamisi3
SIKUDHANI HAMISI :
mashaallah shehe wetu kwa ufafanuzi huu
2026-08-17 02:28:20
1
madame.latifa4
Madame Latifa :
sielewi nishike lipi
2026-08-13 20:44:25
1
rahmashabani56
Rahma Shabani :
alhamdulillah
2026-08-13 14:49:36
2
user15361474076376
rashney :
nimekueleqa sheikh...asante kwa kunijuza
2026-08-14 14:17:05
1
ummy.hyme
Ummy😍 🇹🇿 :
Shukran
2026-08-13 14:35:39
2
nasma.malki
NAAH :
subhanallah
2026-08-13 12:52:59
2
bombangeta
Bomba ngeta tz :
naam
2026-08-13 13:58:49
2
user4619145324666
Muhammad madunda :
asant san
2026-08-13 14:37:35
1
umuuasya1
zarina05 :
shekh allah akuhifadhi nakuamini kwa darsa zako tamu
2026-08-13 19:50:51
1
mama.wawili798
Mama wawili❤️💝❤️ :
msxha allah
2026-08-29 06:04:31
0
user8137906119365
user8137906119365 :
Masha Allah
2026-09-04 17:06:47
0
nadrasalim876
naa :
Alhamdulillah suali Lange limepata jibu
2026-09-01 20:03:10
0
user12504114399916
user12504114399916 :
shukran
2026-08-13 14:46:36
0
To see more videos from user @risaladawaah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About