mnagombana na mic mnavaa🤣🤣🤣🤣 ila maisha ya content creator siwezi 🤣🤣
2026-08-13 12:42:11
1038
🖤jio.vanna⚡ :
mtetea usijali 🥰🥰🥰🥰 we love you
2026-08-13 18:41:49
2
Vee✨💫secute🍀🍁 :
Unalia na umekumbuka kuvaa mic😂😂
2026-08-14 06:02:43
109
𒀱Ɱ̸Λ̸F̸U̸N̸Λ̸乂𝕻𝖍𝖆𝖓𝖙𝖔𒀱Ɱ :
tanzania ndo nchi peke unaweza ukaandika vocodam na watu wakasoma vodacom
2026-08-13 15:45:56
614
Mrs Amos🌹 :
me nisingefatwa
2026-08-13 12:50:23
72
Miss.IFM🌹🌺 :
kijij gan iko. kiwanja cha ef kumi kipo?!
2026-08-13 12:53:53
74
Stephord#252 :
Daah mlikua mshajiandaa,mtetea akaenda kulia na mic😂😂
2026-08-13 14:32:12
36
Ummy Ilham :
Huyu ni Mimi kbx yaan kulia nd silaha yang bora hata usiniongelesh 🤣🤣🤣 pole mwaya
2026-08-13 12:41:21
83
🦋phetty love 🦋🌸 :
kila penz litaonja umauti
2026-08-13 16:28:10
37
♏s_T🤎 :
huyu ni Mimi kbsa 😂
nikijisikia kulia naenda kweny mashamba ya watu huko 😂 michungwani , kweny miwa,Hadi mahindini 😂😆🙌🏾
2026-08-13 12:55:14
296
WHY ME😝 :
bola nili hama nchi ya Tanzania 🇹🇿 maana duh. nipo zangu Dodoma 😂
2026-08-13 20:19:15
6
miss💞💞 witness :
kila penzi lazima litaonja umauti kama unakubali gonga like hap
2026-08-14 15:42:55
10
neylov :
umauti wa penzi lenu unakaribia😂
2026-08-13 18:28:57
10
👑Tara😍🦋 :
Unapata wap kukumbuka kutembea naizo maiki
2026-08-14 01:58:16
6
ANILLIYYAH❤️ :
Wanaume msichokijua mwanamke wako ukimchit akajua akalia kama hiviii ata kama utaomba msamaha atakusamehe tu mdomoni ila moyoni hakusamehe hasahau naupendo unapungua mdogo mdogo ukiendelea natabia iyo iyo kwakuzani kua yeye mzaifu ndo mwisho wasiku unaachwa huku wewe unajua Bado muko kwenye mahusiano . 🥺💔
2026-08-18 16:35:01
8
m͓̽a͓̽ m͓̽k͓̽a͓̽l͓̽i͓̽..❤🔐 :
asanten kwa kunimalizia bando langu🙆♂️😂🙌
2026-08-13 17:17:56
11
Twinkle✨🫦 :
Na Maiki mkakumbuka uwiiii nachoka Mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-13 12:58:56
11
NO GOING BACK 🇹🇿🚷 :
Kaka mwanamke ananizamu sana na anakupenda sana bro shikilia hapo usiache
2026-08-13 13:10:23
7
Winifrida Molelly :
bora umejua namn ya kumtuliza mkeo wengine wanaondoka wanarudi asubuhi
2026-08-13 13:58:17
6
dj🗯ghost💀king :
kila.penz. litaonja umauti
2026-08-13 15:17:17
15
Cute nuu😘 :
Huyu ni mim kabisa wallah tena
2026-08-13 13:27:10
6
To see more videos from user @motistar.tz, please go to the Tikwm
homepage.