Chumbani panakuwa sebuleni na sebule inakuwa chumbani kwishaaaa
2026-08-13 13:36:44
3
Queen_Naylah :
Jiko lipo chumban au chumban Kupo jikon jaman jaman🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 05:00:28
4
Engineer by Nature :
Fundi kafuata maelekezo ya boss, hana kosa.
2026-08-13 19:15:32
8
Madamkim Store&Jewellery Mbeya :
chakufanya hapo azibe kati ya chumba na sebre harafu atoboe mlango chumbani
ili iwe chumba single na chumba self chenye jiko😂😂😂
2026-08-14 17:43:13
2
DA HUU 💅💅💅 :
nikiona ivi naumia mno mm kunamafundi walinijea msingi uliyumba kozi zilipishana zengine zimeenda ndani zengine zimetika nje msingi wa vyumb 4 nakilakitu ndani alienistua ni adiweya husna msingi umeyumba imagine nilibomoa msingi mzima MWINYI MUSSA sitokusamehe maisha yangu yote now naanza upya ila alhamdulillahi mafundi baadhi yao wasumbufu balaa wanaludisha nyuma sana
2026-08-15 07:49:41
2
Japhet :
😂😂hapo atoboe tu dirisha kati ya washroom na jiko. Anakuwa anapika hata akiwa anaoga
2026-08-14 13:13:43
0
dalali_dodoma_edymgogo :
🤣🤣🤣🤣🤣 fundi maiko
2026-08-14 07:51:30
0
lolah_1232 :
Afanye tu meza ya kusomea au dressing table😂😂😂
2026-08-14 14:07:56
1
bin bashe@99 :
sasa fundi anaingiaje fundi ndio katoa maelekezo ya ramani
2026-08-14 03:20:23
0
Maio Saltman :
Tajiri alikua haendi site visit?
2026-08-14 10:56:20
0
♋Doris~T :
ubadilishwe mlango Tu hapo
2026-08-14 12:24:18
0
De Chattz :
hyo inaitwa geni utakula kwenu😂😂
2026-08-14 00:20:37
0
꧁༒Dear Gambe༒꧂ :
CHAT GPT aeshimiwe .....boss katengenezewa ramani na AI na fundi kafwata ramanii
2026-08-14 20:31:53
0
TheTrueAlpha :
hii kwa ajili ya mpangaji mpenda kula😂
2026-08-14 12:55:18
2
Ney🌸 :
Yaani apo inabidi kwenye jiko avunje iwe kabati la Nguo tu
2026-08-14 14:16:04
0
Barbie zai :
kwani toka wanaanza ujenzi ye mwenye nyumba anakua haelewi hama ni vipi mi nashindwa kuelewa
2026-08-15 06:45:27
0
Viwanja.Kigoma.Buronge :
Hapo simple tuu,bomoa zege ya jikotoa hiyo gril ya dirisha harafu ziba hilo dirisha hiyo sehem iwe ha kabat👍
2026-08-14 06:35:02
0
zungu umeme bukokwa :
kwan fundi ni anko t au
2026-08-14 06:00:19
0
__thee crafty__. :
mm si nmemaliza chuo mwaka jana eeii si narudi nyumban nakuta ujenzi kupo ovyo 🥹ikabidi niingilie kati kurekebisha 😂😂maana nisingeingiliaa hehehehe wateja wangetucheka😂😂mafundi tuoneane huruma
2026-08-13 23:47:19
3
@officialbeatrice❤️🔥🦋 :
Jiko chumban 😂😂😂unyama tu
2026-08-14 05:18:24
0
Wemaa❤️❤️ :
Hapo kweny jiko havunje aweke kabati la nguo no way😂😂😂😂
2026-08-14 10:21:23
0
RUU BABE❤️ :
apo apangishe afu 50 tu😂amna namna
2026-08-13 23:05:58
0
To see more videos from user @dalalimsuyadodoma, please go to the Tikwm
homepage.