@asadiqmedia: WAJIBU WA KUPIGA SIMU NI WA MUME NA MKE SI WA MUME TU.. #Swafar1448 #islamic_video #creatorsearchinsights #tiktokviral #tanzania🇹🇿tiktook
saa ziingine yuko na mke mwingine na huwa hataki kujua kuhusu mke mwingine ,tufanyaje sheikh
2026-08-20 13:31:11
7
halimadiuza :
Tatizo mume ukimuuliza mbona kimya mume wangu anakutolea maneno si nimeenda kazini ht nikirud hata usiku nitarud tu hivyo wanatuchosha saingine kwa WEMA tu mume wangu Upo wapi utajuta kuuliza bora watupigie tu
2026-08-20 18:27:42
3
Sajda Adams :
wanaume wapo busy na side chicks wanatuona sisi wake zao hatufai tena..
2026-08-20 17:10:20
1
Violeth Mohamed :
siyo wote
wengine wamesahau majukumu yao
2026-08-20 10:58:57
3
💕💓🌹 :
Huyu Mumewangu Allah anihifadhie yeye Nakupenda Mumewangu
2026-08-20 12:05:32
3
KHAIRUN_COLLECTION :
kwetu inakua wake ndo tunapiga sim hatujapiga hatuulizwi
2026-08-20 18:29:29
1
CookWithMasaid :
me naumwa lakini ata sipigiwi kuulizwa naendelea vipi ila ndoa hizi zinaitaji subra
2026-08-20 18:48:47
1
Bi khadija Omary :
😂😂😂 shekh unaongea nini
2026-08-20 13:29:54
1
Aisha Khalfani issa :
Mimi wa kwangu nikimwambia anasema ni jukumu langu kumpigia nimuulize hali
2026-08-20 17:26:59
1
mrs.john :
mbona haiseviki niweke statas
2026-08-20 13:54:04
2
user73315307778178 :
nashukuru mume wng toka alipoondk kikazi huu mwezi wa 9 hajanidharau ananipgia mara 2 kwa cku
Mmmmh shekh mke anapiga cm mara 11 au mara 9 hapokei na akipokea matusi kufokewa mwisho cm inazimwa kbs na huduma inafika cku 17 hatoi …. yarrab tufanyie wepesi ktk hizi ndoa
2026-08-20 19:38:14
0
Imptysamu :
mbona wang apig
2026-08-20 18:17:45
0
abdulhalday279 :
Tafadhali ifungue sheikh wangu..niitume kwenye group..👏👏
2026-08-18 07:56:48
1
To see more videos from user @asadiqmedia, please go to the Tikwm
homepage.