@k.m.a_choir_1995: Replying to @user7544768517010 Sehemu ya Mwisho ya Mahubiri yaliyogusa Maisha ya Wengi😰😰🙏🏽🙏🏽Tumewawekea Video nzima kwenye Account yetu ya YouTube Link kwenye Bio🙏🏽🙏🏽❤️❤️#creatorsearchinsights #livehighlights #fypシ #fyppppppppppppppppppppppp #viralvideo

KWAYA YA MT.AUGUSTINO K/NDEGE
KWAYA YA MT.AUGUSTINO K/NDEGE
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 12:43:01 GMT
33665
2336
29
58

Music

Download

Comments

madoshi4
P.madoshi ngwata⚽ :
Kuna wimbo umeimbwa na kwaya ya Mt camilius uvinza kigoma .unaeleza yote haya aliyoyahubili paroko NJOONI MLIOBARIKIWA NA baba.youtube
2026-08-13 18:41:21
8
user7994872267367
user7994872267367 :
ni kweli father
2026-08-14 20:07:01
2
oliverdaud399
mitole :
fadher umehubiri vzr sana umenigusa kuna padre huko parokia moja jimboni tunduru masasi bila jeneza haji kuzika tunawakati mgumu
2026-08-14 04:59:15
8
user6016773585799
Rafael :
father umenyok sana
2026-08-15 03:01:56
1
user2772168552721
claramaria Lubuva :
tumeuguza sana baba miaka mitatu mfululizo naelewa
2026-08-13 19:57:09
2
srjb3
brm :
aise katori ingelikuwa na mapadre kama huyu ingekuwa raha sana!sasa kuna hii parokia ninayosali mapadre wanapenda hela zaid ya mfuko yaani akiwa anahubiri mazungumzo n pesa yaan utafikiri tunafanya biashara nao kha
2026-08-14 18:50:15
3
mpetrock
PetRock :
wow, my high school classmate. Hongera sanaaaa
2026-08-14 08:09:34
1
user81618403750264
kiler boy :
tunakushukuru paroko
2026-08-13 14:32:42
1
baraka_antoni2025
BARAKA ANTHONY :
ubarikiwe sana father Kwa mahubiri yako mzuri
2026-08-13 15:44:09
3
jamalinngumbigmail.com
Veronica farles :
amina ubarikiwe baba
2026-08-14 12:23:43
1
juliusfrancetarimo900
Surveyor Tarimo :
kwely
2026-08-14 15:55:39
2
beatus.olomi
Beatus Olomi :
kweli padri umesema vyema sana
2026-08-13 18:36:18
1
jovinusjohn745
jovinus john :
Haya Mafundisho yana Elimu kubwa sana Endapo ukiyatilia maana zaidi ya kawaida. kuanzia mwanzo nimefatilia Asee Ni Muhimu sana kila Mmoja wetu Angeyapata Mafundisho haya yanafunza sana.
2026-08-13 13:25:52
2
johntibus778
John Tibus :
yaaan hapa kama ulikuwa hupendi kwenda Kanisani utalizimika kwenda tu
2026-08-14 10:17:16
1
daangel365
da Angel💕 :
nimepamc k ndeg jmn parok wetu
2026-08-15 18:38:33
2
user1229129588727
rojas :
Baba unafundisha yaliyo ya kweli
2026-08-26 12:44:17
0
user68588806286725
user68588806286725 :
Hakikha umenena vema mtu wamungu
2026-08-20 19:54:42
0
.consuetudo
Consuetudo Vitae :
Ameeni
2026-08-14 05:39:32
1
rosesebastian315
rosesebastian315 :
Mungu Naomba unisamehe makosa yangu nipate mwisho mwema
2026-08-22 18:14:31
0
peterkionza760
Peter Kionza :
kiongozi huyu Yuko wap nimtumie sadaka
2026-08-14 10:47:59
1
alex.mzungu
Alex mzungu :
mungu akubariki san padri
2026-08-18 15:03:47
0
user3326190124759
user3326190124759 :
ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri huu
2026-08-15 12:26:37
2
sabuni387
SOPU🇹🇿🇹🇿 :
you very nice 👌 👍
2026-08-20 05:43:53
0
joseph.boniphace.m
Boka boy :
nikwel paroko
2026-08-27 10:19:10
0
edmund.mpululu
Edmund Mpululu :
👏👏👏
2026-08-13 16:31:27
0
To see more videos from user @k.m.a_choir_1995, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About