@eliton.production: DUA |YANGA SC. DUA ya Amaan Foundation kwa Yanga SC baada ya kupeleka Ngao ya Jami, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said pia ametoa kiasi cha shilingi million kwa Amaan Foundation. Selemani Mwalimu, Yao Kouassi Attohoula na MUDATHIR walikuwepo #Yanga #BongoSports #TzFootball #Habari #Mpira

Eliton Productions
Eliton Productions
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 12:51:59 GMT
61407
7282
322
94

Music

Download

Comments

user52610076823107
momo A💞❤️‍🔥 :
me sio islamic ila nasilimu walah
2026-08-13 19:29:31
39
hawakachanii720
Hawa💞🥰 :
mashallah allh atukuzie vipenz vyetu kwakumtumika yeye
2026-08-13 21:18:13
20
khadijahamza172gmail.com
khadijahamza998 :
mbona hii dua ikisomwa lazima ulie jamani
2026-08-14 04:29:54
16
ahmed.abdalla470
Ahmed Abdalla :
Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin
2026-08-13 19:26:54
6
farh.mpimbily
Farh mpimbily :
mashallah mungu aendelee kuwap mioyo hyohyo🙏🙏🙏
2026-08-14 04:43:15
9
happy.haule1
Happy Haule :
amina mung awape nguvu jaman
2026-08-13 15:35:48
8
_simba619
Ahmedy Simba📿🙏 :
hizo dua ndo ziliwaadhibu simbaa bila kujuaa wanaanza kulalamikia refa .. muhimu ukitaka kufanikiwa mambo yako uombewe duaa na watoto huwa ni neeema saana
2026-08-14 09:08:36
11
azizahmbonde803
Azizah Mbonde :
hii dua inaliza yaan😭😭😭😭
2026-08-13 17:58:50
8
ngosha.jr3
ngosha jr :
yanga bingwa tena
2026-08-14 05:14:13
5
husn.lov3
Ma kauthari💓💓💓💓💓 :
Amiini Amiini Amiin
2026-08-16 12:37:47
1
mamanaa81
Mama Naa Store♥️ :
hapa ushindi lazima kwa duwa hii ya watoto imefika ☝️🤲🙏
2026-08-14 11:41:10
7
user348859972954
abdul razak :
amiin yaallah
2026-08-16 09:51:09
2
aishabeb1697
Aishabeb :
Amiin 🤲
2026-08-17 11:57:20
1
mustafa.suleiman15
Mustafa Suleiman :
♥️amin
2026-08-16 11:14:34
1
mariamwamafupa2
mariamwamafupa :
japo sierew mung awalinde mkue katik madili mema🙏🙏🙏
2026-08-13 19:26:07
7
ishanny8257
Ishanny :
ameeen
2026-08-13 20:05:09
1
khadija.bobani
khadija bobani❤️🥰 :
Amiin🙏
2026-08-17 09:45:24
1
maythamgirlie
MaythamAly❤️ :
Amiin
2026-08-14 05:26:24
2
hajra.hamza.hamza
Hajra hamza Hamza :
mashaallah mwenyez mung awafanyie wepes mjue zaid
2026-08-16 10:20:54
1
ismail.bravo7
suma 🇬🇧👊👋 :
Amina amin
2026-08-14 08:26:52
1
callmebreezy6
@"IT'S_BREEZY_69"💫💫🇿🇦🇿🇦 :
hii ilikuwa wap
2026-08-14 10:13:00
1
faidha2527
Faidha :
mungu awajalie
2026-08-14 07:29:11
2
celline0500
celline 🥰 :
Amen🙏
2026-08-14 11:56:01
1
maisuna.abdallah
Maisuna Abdallah :
amen
2026-08-14 03:41:20
2
kijahassan3
kijahassan3 :
amiin
2026-08-13 19:06:19
1
To see more videos from user @eliton.production, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About