@.hbsquare: #hbsquare #motivation #drcongo #uganda niitieni vijana wenu muwaambie tajiri hb anafanya matumizi ya ela usiige hii kama unalipwa mshara ni mbaya kwa afya ya kijana mpambanaji
Kuna Miaka Fulani Nilikuwa Na Maisha Ya Kishamba Sana Ila Ni Siku Moja Iliyobadilishaga Mitazamo Yangu Kwenye Maisha Siku Ambayo Ilinifunza Kuwa Humble,Nilienda Muhimbili Kuna Mama Aliniita Nikazungumze Nae Nilikutana Na Mmama Mtoto Wake Aliangukia Kisogo Kwahyo Gharama Za Matibabu Ni 1.2m Yule Mama Amwshindwa Kuilipa Amekaa Tu Nje Pale Anacheza Na Mwanae Nilimuuliza Maswali Kadhaa Kujua Nn Shida Akaniambia Kuwa Yeye Mwenyew Tangu Azaliwe Hajawah Kushika Laki 2 Ya Pamoja Hiyo Hela Yote Anaitoa Wapi 🤔🤔Aisee ndio nikajua Kuwa Kuna Watu Wanapata Shida Sana Aisee Ndio Nikaachaga Upumbavu Wote Nakuwa Humble Mpaka Leo Kwahyo Nikionaga Madogo Kama Hawa Najisemeaga Ni Stage Tu Ya Ukuaji Wakikua Wataacha Ni Wakati Wao Huu Ila Wanatakiwa Kujifunza Vitu Vingi Sana Kwneye Haya Maisha 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2026-08-14 05:55:18
1276
EDO__tz✝️ :
kwani hii inauzwa Bei gani
2026-08-13 14:41:39
161
SELE BOY :
tajir aendeshi crown
2026-08-13 15:48:48
363
sound engineer 💽🎚🎛🛠🔩 :
faida yake nn sasa hapo
2026-08-13 16:23:25
552
Abuu🍁 :
Huyu Nani Tena Mjini Ticktok??🤔
2026-08-13 19:48:49
210
CLOSET BANK :
Huyu anabishana Na nani kwani??
2026-08-14 08:17:44
243
Doryn_Luxehub🛍️ :
Mdogo wake chief Godlove au?😳🤣🤣
2026-08-17 19:28:44
0
saimon_749 :
Chief godlove wa zamani😂😂
2026-08-13 20:48:43
4
Jicho La Tai 🦅 :
kwani henessy ni sh ngapi?
2026-08-13 14:39:23
66
sayd werding Tbt :
yote ya nin yan kuna faida gan wapo weny uhitaj wa lizik wapo wenye uhitaj bro yote ayo ya dunia tu
2026-08-13 15:23:18
156
kachistore_ :
Katokea mkoa gan huyu
2026-08-13 15:33:17
62
hassanmpole4 :
kwel akili kitu Cha maana sana bro. hyo Hela unayochezea ni Bora ungesaidia maskini ungeonekana wa mana
2026-08-13 16:02:36
79
Official _Kim Naah Tz💖 :
Unatunza risiti?
2026-08-14 09:02:16
37
thug life :
spati picha siku ukakosea masharti sijuwi itakuwaje
2026-08-14 10:06:25
42
fettymobetto :
endelea na masharti yako usituchoshe
2026-08-14 13:32:15
28
Mr isaya :
kuna watoto wahitaji kibao wangekuombea upate zaidi kwa mwenyezi mungu kaka
2026-08-18 16:23:52
5
makorokocho :
Mbona kama Nakumbuka nilipo jiunga Tiktok nilichagua Mambo ya Mpira sasa haya yanatokea wapi ?
2026-08-17 11:46:02
8
Vivian :
tuonyeshe expdat
2026-08-14 13:08:00
11
Pavooh :
KWAN HIO POMBE SHINGP
2026-08-14 05:57:27
18
frank :
sasa iyo pesa kaka si ungepeleka kwenye vituo vyawatoto yatima aseee
2026-08-14 10:30:05
8
P. j.t :
tunakuangalia tu
2026-08-13 16:30:37
61
MILELE GEMMINGEMPIRE 🎮 :
dear God, before wealth,wisdom first.
2026-08-13 16:03:00
9
To see more videos from user @.hbsquare, please go to the Tikwm
homepage.