Zingatia neno pilika, nahekaa mpk nagwaa wallah😂😂😂
2026-08-13 15:09:33
154
user8312105802010 :
bro umfungulie office yaku fundisha wanawake wetu
2026-09-09 11:58:46
13
Devotha Ndura :
bibi nimepunguza pilika😂😂
2026-08-13 19:16:57
31
joyiegatobwa :
bibi hayo maneno huwa anayatoa wapi😀😀😀
2026-08-13 16:50:30
79
Tatu Nhonoli :
usipomsikiliza huyu bibi litakukuta jambo
2026-08-14 05:44:28
32
Pauline mlelwa :
ngoja niachie pilika😂😂
2026-08-14 10:19:44
9
Flora Jonathan :
mmesikie nyie wenye pilika
2026-08-14 08:03:00
14
Flora-kidoti :
me nshapunguza pirika bibi tena naelekea kuacha kabisa pirika
2026-08-13 19:50:11
13
babyhuled :
yaani wewe mpaka umsemeshe bibi maneno magumu jamaniii
2026-09-09 07:47:28
5
mslove717 :
😂😂😂😂Uuuu yani bibi 🤣🤣🤣
2026-08-14 05:44:33
2
Lizzy mruma :
zingatia maneno ya bibi
2026-08-13 18:42:23
7
H-R-Nkayaqwa :
wajefya mukikuu🥰🥰
2026-08-13 17:44:56
12
KINGMSWATI17 :
Huu ndio husia wa bibi sasa,live long grandma
2026-08-13 21:37:14
11
De_sissy :
hii misamiati itunzwe vizuri😂
2026-08-13 15:21:19
10
evy :
wanadhani kuhanya ovyo ni sifa hawajui nyuma ya ngono kuna roho nyuma yake,kuna wanaumwa magonjwa mabaya chanzo ni uzinzi,kuna wamefilisika kupitia uzinzi,kuna wale nafsi zao zimekamatwa na kuingizwa kwa maagano mabaya kupitia uzinzi,watu waache uzinzi wazitii amri za Mungu
2026-08-15 07:15:20
10
Mr. Peace ✌️ :
sasa hapo jina langu Limefata nini😳😳😳
2026-08-13 15:27:32
5
Edwardmahona Edwardmahona :
bibi bn
2026-09-09 18:13:24
1
lzy :
bibi kasema
2026-08-14 02:54:49
5
Irene kafem :
god zing'atia ushauri kwa bb ni hawez kukwambia ni ww ila hap anakwambia msikilze
2026-08-13 17:54:05
8
BAlAkA👑 BRAND 👑 TZ🇹🇿🇹🇿🥷 :
daa huyo bibi noma
2026-09-09 20:36:16
1
Dosca Mwasenga :
😂😂😂😂pilika bibi nakupenda
2026-08-18 18:28:03
1
neemakienze :
jaman bibi nakupendaga bule
2026-09-09 18:42:00
1
Peace Francis :
kabisa Bibi liukwimiiiiii linakumaliza
2026-08-19 11:07:35
0
rusia njeza :
tena anajua kuficha ukali wa maneno safii sana pia ana hekima ya maneno asante bibi
2026-09-10 08:06:57
4
To see more videos from user @godfreynkungudaff, please go to the Tikwm
homepage.