@batibombatanzania: 🏠 JINSI YA KUPIGA HESABU ZA MABATI — HATUA KWA HATUA Unajua jinsi ya kujua idadi ya mabati kabla hujaanza kuezeka? Kwenye video hii nimeonyesha mfano wa chumba cha 4m × 4m, paa la Gable, kuanzia: 📐 Nusu ya upana 📏 Rise hadi kwenye Ridge 📐 Mteremko wa paa 🏠 Vipimo vya bati 🔢 Hesabu ya mabati upande mmoja ✅ Jumla ya mabati kwa pande zote mbili Mwisho wa hesabu, tunapata mabati 10 ya mita 3 kwa mfano huu. 🎥 Angalia video mpaka mwisho, na fuata kila hatua. Ukiona elimu hii ni muhimu, share kwa fundi mwenzako au mtu anayejenga. 🔨🏠 #HesabuZaMabati #Ujenzi #GableRoof #MafunzoYaUjenzi #Mabati