@george_pixel1: KASRI LA BILIONI 1.8 GOBA CENTER ENEO SQM 2500 COMPOUND CONTAIN PARKING KUBWA SWIMMING POOL BASKETBALL CORT PAGOLA SERVANT CORTER GARDENS

TAJIRI ESTATES
TAJIRI ESTATES
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 14:46:29 GMT
227424
10946
305
278

Music

Download

Comments

banega565
£CH02645 :
bilioni alaf geti unasukuma?😳
2026-08-13 22:55:54
142
fatma.mussa17
Dj T :
hamna nyeusi yake
2026-08-15 04:31:26
46
geejay_official
Geejay_official :
dogo billion unaijua wew ?
2026-08-18 14:21:40
0
neurorehab8
Dns Neuro-Rehab Care :
Kasiri ni zuri sana ila Kuna KOSA MOJA ENGEENIER ALIZINGUA, Mfano Jengo lolote la kisasa lazima lizingatie watu wote Sasa nyumba kama hiyo inakosa lamps na Haina lift je, mfano Mimi mwenye wageni walemavu wataingiaje
2026-08-13 16:33:23
40
tiktok.comgracious7
gracious🦈 🦈77 :
nyimba ya nana dolls million 500 alafu hii 1 billion your not serious darling 😁
2026-08-13 17:21:13
24
ediga.you
EDIGA YOU🧎‍♂️ :
Kwan milion 800 na bilion 800 ip ni kubwa 😏
2026-08-15 13:57:11
11
nonchalant__369
Nonchalant-369 :
mbn hio B siioni aseeh
2026-08-13 17:45:04
16
jimcruzjooh
jimcruz joooh :
ivi mnauwakika wa kutoa bilioni yupo umu???
2026-08-15 12:24:40
9
johnkageba746
Mwl Lupimo :
B 1.8? kwa nyumba gani?
2026-08-15 04:35:08
6
abdulmakuka901
Abdul Makuka :
bei gani
2026-08-13 20:55:21
2
specex99
spece x :
kwa kukusaidia tu huo nyumba na jenga kwa bajeti ya 470 tu
2026-08-17 15:43:25
1
big.son257
Mr Archimedes🔐🥀🌺 :
Hiyo ella kubwa lakini haikidhi hiyo mmoja kwa8b ni Dar es salaam😂😂😂
2026-08-14 09:39:33
3
lallana2022
Paroko :
wizi tu B moja c najenga hizo kama 3
2026-08-14 08:44:36
3
365...ghost
"0" mood 💱 :
ukitaja bei kwa tz shs una tutishia😂😅😅weka in terms of dollars 👍
2026-08-13 15:27:45
9
ronny.traga
Robert nyambega :
nyumba ni nzuri ila siyo kwa hiyo bei
2026-08-13 17:25:08
6
mr_plan255
Master plan :
lilion 500 haifiki
2026-08-14 04:32:33
2
davicyraghamaz
davicy :
yani hii nyumba imezidi sana milioni 400 Ata Mia 500 sitoi🤣🤣🤣 ivi bilioni. 8 unaijua kweli mkuu
2026-08-15 12:23:46
2
mujunvicta
mujunvicta :
Duh nikipata kazi serekalini
2026-08-16 16:10:38
0
polly7511
️ :
Hivi huwa kweli mnatafuta wateja huku au kuna mambo nyuma ya pazia?
2026-08-15 15:46:53
4
marcelmo857
m_o badr (efootball) :
nitafutie yenye football ground
2026-08-15 05:27:33
0
To see more videos from user @george_pixel1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About