Proud of you my sister Lilian hakika Neema imefunguliwa
2026-09-01 14:12:23
3
Dequnie :
Amen
2026-09-06 18:06:29
1
niel :
Hakika, sisi ni kizazi cha Agano Jipya. Neema (injili) ya Mungu imefunuliwa kwetu kwa namna ya kipekee, na tumeiona, tumeipokea, na tumeishuhudia katika maisha yetu. 🙏