@mwl.emmanuelfungo: #CapCut

Mwl.Emmanuel Fungo
Mwl.Emmanuel Fungo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 15:37:30 GMT
434270
26757
915
5591

Music

Download

Comments

braytonnorobeth1
braytonnorobeth1 :
Hii ntaiplay mbele ya mkewangu
2026-08-14 05:40:42
342
magygeorgina
Maggie :
Sasa watumishi mbona mnatuachanganya jaman,🤣🤣
2026-08-14 08:00:04
113
sekundamosha
🪷mama Temba 🇹🇿🪷 :
🥰🥰 mandiko yenyewe yanasema asiyefanya kazi na asileeeee🥰🥰
2026-08-14 08:17:17
162
stephanosimkoko
jamrezo :
Tell them about the truth pastor
2026-08-14 05:29:50
71
gracesichilima
Grace Sichilima :
Apo sasa ndo natakiwa nikasali sasa 👏👏👏👏👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-16 09:37:28
25
raynmalika
P mchina :
Huyu ndo mtumishi anaejielewaaaa
2026-08-14 15:06:18
45
user78624792269186
Shakiru Dauda :
Hii iwafkie vijana wote Tanzania nzima
2026-08-14 07:08:08
73
alivlisa1
@Kerryperry🇺🇸🇺🇸 :
eti tingisha simu hela zitaingia zitoke wapi mbinguni😂😂😂
2026-08-15 14:19:21
27
trophaina
Trophaina :
na Mchungaji akafanye Kazi
2026-08-14 13:15:01
13
ediga.you
EDIGA YOU🧎‍♂️ :
Moja kwa moja status 😂😂
2026-08-15 13:24:55
17
annmutinda1
Ann Mutinda :
mchugaji watu wafanye kazi
2026-08-14 19:25:28
9
djjeffgee1
DJ JEFF GEE :
😂kuna pastor karibu akuzimie mic 🎤
2026-08-15 06:04:40
7
winniep.254
winniep.254 🔥 :
kumbe sijakosea😳nina miaka tatu sijaenda kanisa mimi hivo pastor hamna neno?
2026-08-15 22:23:23
8
emmanuelngiya
Emmanuel_Gabriel :
Point of correction: Usiseme kushinda kanisani, I don't think kama Kuja ibada ya jioni saa 11 hadi saa 12 ni kushinda kanisani ... 1 hour kwa Mungu haikuzuii kufanya kazi... kazi tunafanya na kwa Mungu tunakuja,
2026-08-14 22:59:48
31
seniorpastormapunga
Senior Pastor Mapunga :
Bro hongera ila nikuombe kuwa makini ktk mahubiriya aina hiyo si kila mtu anaweza pokea kwa ufaham huo maana kuna watu hapo ndio unawaua kabisa, kushangiliwa sana sio kipimo pekee cha usahihi wa mahubiri
2026-08-16 03:44:03
12
kemersophy11
Bk❤️sophy :
barikiwa sana from Kenya ❤️❤️❤️
2026-08-15 17:52:06
9
imbokoyamareva77
𝑀𝐶 𝐶𝐻𝐴𝑇𝑇𝑌 @066🎤 :
𝗸𝗮𝗻𝗶𝘀𝗮 𝗶𝗽𝗼 𝘄𝗮𝗽𝗶 𝗻𝗶𝗷𝗲 ..??? 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗵𝘂𝘆𝘂 𝗺𝗰𝗵𝘂𝗻𝗴𝗮𝗷𝗶 𝗻𝗶 𝘄𝗮 𝘂𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶🥺🥰
2026-08-15 06:32:58
5
ggg_.360
G :
nimefanya hivi mwaka 2021 mimehudumu kanisani kwa miezi 12, nimeacha kazi zote nikaamua kuhudumu kanisani aisee mwisho wa siku kodi imekata, ada za wanafunzi niliokuwa nasomesha ikaisha, aisee acha nisiongee mengi...
2026-08-15 21:58:46
5
j.juniour02
Mŧőŧő ẅä Ṣ̌ĥőṣ̌ĥ🫵 :
I second you walai
2026-08-15 06:28:12
5
dj.phleshy
Dj phleshy :
watu wafanye kazi.
2026-08-15 15:18:35
5
jojooutfits
JojoOutfits :
Waaaambiiiie baadae wanakuwa na wivu husda roho mbaya mwingine akipata watoke huko wakafanye kazi
2026-08-14 10:24:44
12
user71277287326146
Quincy maria :
talk the truth and the truth shall set us free ... barikiwa pastor
2026-08-14 16:41:44
14
eunice18minister
eunice18minister :
kwani huko kanisani hata kama ni Kila siku lakin ni jioni saa kumi na nusu huko au saa 11 jioni au hapo si muda wa kazi umeisha kabisa jmn
2026-08-14 07:42:18
12
leonardlamau335
Leonard Lamau :
Yohana 4:23-24 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Mungu atusaidie .🙏
2026-08-14 09:51:25
23
user2308471156998
Nancy nyanchama :
wengine ata hawaogi ni kushinda kanisani 🤣🤣🤣🤣Good advice for people with wisdom
2026-08-15 10:01:58
11
To see more videos from user @mwl.emmanuelfungo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About