@visitngorongoro: #karibunyumbani #visitngorongoro #experiencethewonders #wondersarecalling #destinationngorongoro

Ngorongoro Conservation Area
Ngorongoro Conservation Area
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 15:38:13 GMT
154345
14753
355
891

Music

Download

Comments

jr_breezy
jr_breezyHB :
kwani nguvu ziko shingoni😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-08-13 16:38:11
253
britneyarman
𝑹𝒂𝒊𝒚𝒂🦋🇸🇴🇰🇪 :
Kwaiyo anakimbilia au Mbona sielewii
2026-08-13 16:06:32
13
lymolymo6
ciss boy 😎 :
kaka ivi Niki taka kuja ngorongro natakiwa kuja na bajeti ya shingapi siku kama 5 ivi kula na kulala na kutalii
2026-08-13 16:07:03
75
jamesadventure51
𝐉𝐢𝐦𝐦𝐲 𝐆 💎 :
I like the way they attract the females by dancing and the process is know as kantling 😂
2026-09-17 13:53:09
3
zainabukwata
zainabukwata :
yaani mbuni anakaa muda mrefu kuliko simba sitaki kuamini kuwa simba anashindwa na mbuni
2026-08-14 13:11:36
10
kayombo.kb
TRUCKS BY KB :
watuu ww nimekuwa wa kwanzaa kucomment😂😂😂
2026-08-13 15:41:12
85
bahati.msigwa8
maiko msigwa :
kaka napenda sana video zako kama una namba ya m pesa endelea kuwa nayo ni nzuri sana
2026-08-13 16:51:12
15
mwl_jully_us
Mwl Julius Kiwovele :
Admin 😁😁unaona mpojojo
2026-08-13 16:16:37
70
barbie535
Barbie535 :
wanaume mnaona mwenzenu anavyoihangaikia lakini
2026-08-13 16:18:39
4
yasminguga0
Yasmin Tasty Kitchen🇹🇿 :
Admin lete simu 🫴🏽😂
2026-08-22 01:19:20
5
salim.kipangule
Salim.kipangule :
humuu tuuu😂😂😂😂🔥
2026-08-13 16:38:14
18
kami_johnson15
John.kami :
nasoro anaichapa Kwa mwantumu
2026-08-13 15:43:28
10
kingsons68
kingsons :
admin Nina ticket yako ya ngorongoro
2026-08-13 15:46:07
7
officialboysafi
boysafi :
Ila 😂😂😂 Ma Admin wa sasa hivi wapewe maua yao 💐 Gen Z ni Game changer 🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-08-14 02:24:34
5
iam_muziki
iam_muziki.🇹🇿 :
wakulipe pesa za ziada..
2026-08-29 04:43:40
2
dogokevo
Dogo Kevo :
wanaokubali producer katisha gonga like hapa
2026-08-14 18:24:18
2
chaleskagoro
chaleskagoro :
Yani anaichapa hku anampepea
2026-10-04 19:57:46
1
amour_northman
amour_ :
🤣🤣🤣
2026-08-14 06:50:28
1
benj_sams
benj_sams :
im rekodingi😂
2026-08-14 07:26:37
2
user55372016787917happy
@humyrafiona🥰 :
10/10come
2026-08-14 08:02:12
2
vinnivinnah
thatgirlvinnah🇮🇳🦋 :
2026-08-13 17:10:31
2
user7360023396671
Hunting goes by size :
courtship display
2026-08-15 15:22:27
3
rey96440
Rey 🦋🦋 :
Ila MUNGU fundi sana yaani anacheza kumshawishi jike 😂😂
2026-08-21 07:16:25
1
mamu22355
💥sweet m@mou🧚‍♀️ :
Bwana angu angekua hivi tungefuka mbali sana anamshinda adi mbuni🥺🥺😂
2026-08-14 08:15:22
2
shanmeryj
shanmery :
sekunde tano mpo mmemuona mbuni anavyoichapa 🤣🤣
2026-08-15 10:38:33
2
To see more videos from user @visitngorongoro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About