Kama vina ukweli vile au mie tu ndio nimemweleza huyu mzee 😂😂😂
2026-08-14 11:55:30
3
Jimmy :
nembo mpya ni Bora kuliko ya zamani
2026-08-14 17:50:07
0
user3658481702866 :
mzee umeongea facts
2026-08-13 22:30:39
5
the stones :
kuna Siri katka hizo logo
2026-08-14 12:03:00
1
Ibrahim Eliud :
mangungu ndo alibadilisha
2026-08-13 22:00:53
3
Kasimu Halili :
walikusea sana waki wap
2026-08-13 17:40:17
4
Kizigha JR :
Hizi logo huwa zna maana yake ya ndaaani kabsa... Huyu mzee yuko sahihi
2026-08-16 06:46:11
2
Eskey13 :
Simba kwa kulalamika duh😂😂 kila mtu/kitu kinaonekana kibaya saahv
2026-08-19 11:47:57
0
Omar vs ashmar :
hahaha kam kwel vileee
2026-08-13 23:02:08
2
Salumu Machumu :
Hoja yake Mzee Dalali isikilizwe
2026-08-14 20:41:24
1
007 James Bond :
hiii timu sio wazeee sio vijana kuna tatizo mahali
2026-08-20 03:06:31
0
jimy kongwa :
Kwa hy unataka kusema ni Laana ya hiyo logo ya simba
2026-08-14 16:36:31
0
kandolomnyamwezi :
sasa SIMBA mmeuza
2026-08-16 15:03:56
0
TANGA_HomeTiktok :
Inamaana Simba wetu wawili uliwapeleka wapi. Mzee. Tupe sababu hadi ukabadilisha Simba wawili ukaweka mmoja. Alafu tuje kwenye HOJA ya Simba kabaki bicwa.. Like watu wa msimamo tujuane
2026-08-15 04:33:15
0
bintitz00🇹🇿 :
mdog mdogo mtakuta jicho tu la simba😂😂
2026-08-15 14:03:45
0
𝑬𝒍𝒑𝒓𝒐𝒇. 𝑮𝒘𝒂𝒘𝒂 ᒍr̤🦅 :
dah
2026-08-14 04:55:52
1
cheed :
uyo anaeguna jamani
2026-08-14 17:50:11
0
kupawa :
😁😁😁 duh noma sana
2026-08-14 15:28:19
0
Fajiri Hamza Abdallh :
pesa ipo bank
2026-08-16 09:01:37
0
dezone93 :
kashachinjwa kafa simba wetu
2026-08-14 20:16:26
0
Dylanic :
LOGO ONAMAAANA KWA WASIOJUA ANGALIA LOGO YA VILABU VYA ULAYA
2026-08-15 04:35:52
0
Isaac Seng'unda :
Kumbe hata wewe uliibadilisha, na wenzio nao wamebadilisha
2026-08-15 07:46:46
0
boy from tanga :
kumbe kweli bwana🤣🤣
2026-08-14 05:14:49
1
To see more videos from user @mapigo70tz, please go to the Tikwm
homepage.