@tangavision1: Ujenzi wa barabara ya Mabokweni,Bombomtoni, maramba, hadi mlalo kuiunganisha tanga na kukuza uchumi kupitia sekta ya Usafirishaji kilimo na Kurahisisha Usafirishaji hadi Chuo kikuu cha Mzumbe kinachotarajiwa kupokea mwaka huu. #Tanga #mzumbe#ccm#university#tangavision
Tanga Vision
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 16:11:53 GMT
Music
Download
Comments
rajabuathuman71 :
wadanganye wasio ijua hiyo njiaa😂😂
2026-08-14 06:53:15
2
farida :
upande wa maramba mnatudanganya
2026-08-14 13:03:18
1
BSM-one :
hamna lolote
2026-08-16 10:26:53
3
Samwel Sungura. :
YA PANGANI IMEWASHINDA MTAWEZA YA TANGA SEGERA🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 18:26:26
2
Pisces :
malizeni tanga pangani kwanza
2026-08-15 12:41:21
1
Yurnusu🇹🇿 🇸🇨 :
kudanganyana2😳
2026-08-14 06:37:49
2
user6161769461157 :
kama itakuwa nikweli,aisee tutakuwa tumesaidiwa sana watu wa maramba.
2026-08-14 08:44:38
1
Sultan Ngoda :
mumechelewa sana
2026-08-17 17:14:39
1
Shabbir Asgarali :
habari njema. tuombe mungu vizazi vinanyo kuja wastarehe na maendeleo haya. ya pangani tumeiota mpaka kesho inatengenezwa tu.
2026-08-15 06:45:03
1
👣 Official Jr 💬 :
tanga ipi hii nilozaliwa mimi au kuna ingine 🤣🤣🤣
2026-08-17 12:23:19
1
bin kisimbo family :
jamani mlalo itakuwa vizur sana maana kule kumechangamka sana changamoto barabaratu
2026-08-14 14:59:31
1
professer :
😂😂😂ngoja tuoneee
2026-08-14 05:28:01
3
Ashraf Chande :
safi sana
2026-08-14 14:29:19
1
hibo_cute :
mashaalla Tanga yetu mama tunakupenda sana
2026-08-13 20:46:21
1
user74109875252942 :
labda 2090
2026-08-14 07:54:38
1
Wabusara :
HAO NDIO CCM SASA KWENYE UBORA WAO UGOPA NENO SIASA
SIASA NI UONGO MWINGI KULIKO UKWELI
2026-08-14 16:52:39
0
Mohamedi Masangara :
maneno haya sio mageni mjini
2026-08-15 16:15:11
1
Bakari Omary :
kaka lini zitajengwa je kutoka segera mkata kimange msata itajengwa lini
2026-08-19 13:34:27
1
Toto Baya :
mm naomba imalize ya pangani tupunguze folleni ya mjini mpka mkata ,
2026-08-15 20:24:59
2
Walawi Gospel & Outreach 2012 :
?????????????????????????????? haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote.Amen.
2026-08-18 12:37:15
1
lymo oden :
mhhh
2026-08-14 18:21:54
0
khamenei441 :
Sidhani
2026-08-14 06:24:07
1
Ney💞💞 :
asant mungu wamaramba tumefikiwa asant yesu kilio chetu kimekufika Baba
2026-08-14 11:21:14
1
Happyness Theophil :
tutashukur mna barabar y maramba sio pw
2026-08-14 08:49:36
2
To see more videos from user @tangavision1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.