@haytham_255: NI LINI ULIMNUNULIA MKEO AU MUMEO ZAWADI BILA YEYE KUKUOMBA? #ndoa haileti furaha kwa mambo makubwa pekee, bali inastawi kwa mambo madogo madogo ya kila siku yanayoonyesha kujali na #upendo mahaba ya dhati Hebu jiulize leo... ni lini mara ya mwisho umemfanya mwenzako atabasamu kwa zawadi ya ghafla? #islam #wife #muslim

Rahul Shaaban
Rahul Shaaban
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 16:14:22 GMT
144697
6539
159
3173

Music

Download

Comments

user9430259630412
user9430259630412 :
wanaume wa sasa hawana mapenzi
2026-08-14 17:56:11
41
hasna.bruce
Mrs me and you (Dede) :
nimeweka status liwalo na liwe 😂😂
2026-08-20 04:22:32
2
firdaussamso
firdaussamso :
Kuna wengne hata Salam hatupew akiingia ndan kama mzimu akitoka kama mzimu subhannaallah
2026-08-21 18:59:10
2
itsminashy
🖤MEENAR🐻💞 :
mm naona toka siku ya harusi yangu
2026-08-15 09:13:24
6
alsheiban
ummu K :
a lillah mumewangu aninunuliya bila kumuomba, Allah amtumiye barkaa yarrabb
2026-08-14 22:13:15
5
ukhutywahydah
UKHUTY WAHYDAH🖤🤍🖤 :
dahh wallah mtihan ata skumbuk😂😂
2026-08-14 14:10:02
4
fatmaharun661
Fatma Haroun :
hata nkiomba naambiwa c ukanunue kwan pesa auna au nkupe natamanigi nlie😂😂😂ila nacheka kwa maumivu
2026-08-20 05:49:41
1
zeebeyb
Official Mrs Ramadhan😘 :
😂😂😂😂😂😂na hata ukiomba pia hununuliwi
2026-08-15 06:31:28
3
sham.unique
sham unique :
alhamdulilah nimepokea jan t 🥰🥰allh amlind mume wang🥰🥰
2026-08-15 08:59:14
5
asnangovi
Mrs Abeid :
mhm Kila akirudi nishaa lala chakula ana tafuta mwenyewe ata kukumbatia saangapi 🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 18:56:33
3
konki.jr2
KONKI JR :
mwaka jana
2026-08-15 16:08:34
0
habibasaburi
🦋Haby🦋♒️ :
😂😂😂 Ostadhii tuache kidgo maan ninoma
2026-08-15 17:16:32
1
arafabrand_outfit
arafabrand_outfits :
mzaramo wangu Allah akuweke tu🥰🥰🥰 🫂
2026-08-20 17:12:50
1
nurufrank1
nurufrank1 :
jaman mm ninabahati na numewangu
2026-08-15 12:08:45
1
hamad.hilal.hamad
HAMAD HILAL HAMAD :
sh shukran
2026-08-14 18:48:06
1
zuwenaznz
Zuwena Zanzibar Wedding Dress :
shekhe wambieeeeee Hao haswa wanaume 😂😂😂
2026-08-14 14:23:35
1
shuu78100
shuu :
Mm sikumbuki hata kwanza nishachoka tu😏
2026-08-21 16:00:38
1
reah914
Hi shamy 🧚‍♀️🧚‍♀️ :
wengine adi waskie mawaidha ndy waanafany me sipendi unafki
2026-08-15 18:10:14
1
20.samira
same queen 👑🍷🍾 :
me ninamshukuru Mungu jmnn hua naletewa walau kwa wik mala mbil 🥰
2026-08-15 19:22:32
1
mwajumamagaila
Mwajey ♥️🌹 :
Mie nanunuliwa kila anapoona kitu iki kinamfaa mke wangu ila mm sasa ndo mchoyo 😂 Mungu anisamehe nimemnunulia kama mala mbili tu
2026-08-18 10:47:13
1
maais59
Kulz40 :
keee ila wazee bhnaa 🤣🤣
2026-08-22 18:55:58
0
tuliajuma
tuliajuma :
mungu nilindie mume wangu
2026-08-22 16:31:40
0
nurdiasizya
It's mine 🫦 :
Miaka kumi na sita....adi Leo!!..
2026-08-22 15:03:50
0
niah.ally
Niah Ally :
shekhe mimi simpe nafac ya kuomba huwa nanunua tu
2026-08-14 17:17:38
0
To see more videos from user @haytham_255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About