🤣🤣 mm huwa nafuta mpka na namba yake ili nisije nikamtafuta tena
2026-08-14 08:39:09
144
Sigifrid Joseph :
nipo brother
2026-08-13 16:38:33
250
J.sky :
you are re not alone bro we are unit 😂
2026-08-18 20:13:50
0
imathedon :
dah kumbe tupo wengi asee
2026-08-16 19:15:51
39
unique pearl :
yaan Kam wsp ndo nadelete for everyone 🤣
2026-08-16 12:47:44
7
ANORD EMMANUEL 💥🎉🌟 :
together my brother 👍
2026-08-15 18:09:46
24
said mnemo :
kama na wewe kama sisi gonga like hapa
2026-08-14 08:06:19
28
CEO WA MAISHA🇹🇿🇵🇹🇪🇦♥️ :
kakak apa nipo me nafuta adi picha ila nashindwa kufuta namba
2026-08-16 12:32:12
5
Muu :
tujuane bwana😁😁😁
2026-08-14 11:04:06
13
David Agaba 💖 👨💻 💖 :
bro nipo boss usiongope itakua tu vizuri man 😁😁😁
2026-08-14 06:50:09
9
Abuukhan🏋 :
kma kuna mwenzangu tujuane
2026-08-14 10:53:12
29
official Hassnein%🤲🤲🙏🙏💯💯 :
tupo wengiiii, tupo wengi sanaaa🤔
2026-08-13 21:13:04
11
elka :
jaman mm nikonashida Yani mkaka akiniomba namba nikimpa akinitega tu mgongo nafuta na block sio kwamba Nina jeuri hapana Kuna maisha ambayo niliwahi kufanyiwa na watu wafamilia Fulani kunyanyaswa kingono tangia sikuhiyo mm na wanaume nikikutana nao ata aliniambia ananipenda nitakubali nimaigizo tu nitamfanyia basi
2026-08-15 10:02:49
22
Aron mukalo :
wa congo tupo@
2026-08-16 10:01:23
13
fyalestar :
noma kaka unaona adi vyagizan
2026-08-13 17:17:40
62
@benjamin_mendy🥰 :
namimi piya ni familiya bro 😥
2026-08-14 05:22:40
7
To see more videos from user @aviwa_one, please go to the Tikwm
homepage.