@itsbeckyher: Na group O staki kuwaona na upuuzi wenu 😂😂😂😂#tiktoktanzania🇹🇿 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktokkenya🇰🇪

Leo ♌️ 👸
Leo ♌️ 👸
Open In TikTok:
Region: DE
Thursday 13 August 2026 16:38:46 GMT
34491
1520
83
200

Music

Download

Comments

userbabaesther
Baba Esther01 :
message nzuri
2026-08-20 12:42:49
0
emilianadavid3
Emie dav :
Tunatamba na 0 yetu 😂 Na nina ushuhuda mahi O kiboko
2026-08-14 07:45:55
12
monicapaul588
monicapaul :
nikwelii ila shida tunapima nao ila ndani yamahusiano mtu linachepuka linakuletea magonjwa humohumo yanii mungu tu atulinde ila jaman uaminifu sikuhiz mdgo jamanii , vijana uaminifu muhimu kwa hafya zetu.
2026-08-14 07:58:31
23
user83066061916
fetty :
usituchoshe bhna wote tutakufa kila niksikilow nakutana namakumbusho hay jipen matumaini hivhiv😂😂😂
2026-08-21 08:46:30
2
lemudetu1
mulimsbd2a6 :
we unao nn
2026-08-17 09:26:59
1
bablee27
bablee27 :
Uzuri 2050 hatutakuepo wotee 😂😂
2026-08-21 15:10:03
2
virgniavennyvelda
Happier eight :
Nikae au nisimame
2026-08-14 05:17:54
1
esther.mwaihojo
Esther🦋 :
Watu wanaumwa na hawana huruma
2026-08-14 13:44:19
6
kitoniz
𝙴𝚕𝚔𝚊𝚛𝚗𝚎 :
daah sio poa
2026-08-15 03:02:34
0
afyaboraclinic27
Afya_bora_clinic 🩺 :
😁😁😂 Kwa hiyo vijana wabaya ndo wako safe
2026-08-14 08:33:45
0
helenamarco506
Marydkan :
kabisa 🥰🥰
2026-08-14 06:57:53
3
user3552714507155
PAUL :
tafadhali inatakiwa ila ila ni kuomba saana mungu isikukute Kuna mwanangu mumoja kajilinda mpaka anaenda kuoa akiwa na Miaka 28 mwaka mmoja mbele akaupata watu tulishangaa saana imekuaje hi inshu ni mungu tyu
2026-08-21 14:08:49
0
marryshangali
Mary Briana bevan :
dada unaongea mm naogp jmn MUNGU tulinde jmn
2026-08-18 20:01:17
0
ebraniaudamwa
E brania Udamwa :
tena hasa wadada wanatamaa sana sasahv kiukwel mungu atusaidie
2026-08-15 10:37:36
1
user297877444762
Leila :
Fact 📌
2026-08-13 16:42:58
2
gods_lastborn1
Gods_last Born :
Umeongea kwa uchungu sana but ni fact sana haloo watu wanaumwa jmn
2026-08-14 07:51:30
1
l.classic1
I.classic :
dah umeniacha hoi
2026-08-13 16:52:17
1
dee.wa.robert
Mponda :
group.o wenzangu mikono juu
2026-08-14 20:23:41
1
yone...e
Yone Emmanuel Machela :
fact...fact
2026-08-15 04:56:56
0
janisa932
CHUBBY MINOZ ♏️🌊🧿 :
Kabisaaa
2026-08-14 20:43:24
0
jacquline00
M~~jackie 👣✌🏿 :
Dah..🥹🥹🥹
2026-08-16 21:46:59
0
happyness.stephan7
Happyness Stephano :
kweli kabisa dada uko sahihi
2026-08-17 08:04:02
0
user546192616601
Paschal :
kweli dada
2026-08-14 21:18:42
0
jovie.michelle7
jovie michelle :
ushaur umekuwa mwingi sana point nimoja kufa kuko pale pale acha kutuchosha🤣🙌
2026-08-21 19:14:57
1
oliverrestaurants23
Oliver food point❤️ :
Hii ni kweli
2026-08-14 06:09:38
0
To see more videos from user @itsbeckyher, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About