naikumbuka iyo hajal kaka niliokota sim Kwa kupitia ajal hiyo
2026-09-08 08:41:27
1
Tiner♥️♥️🌹 :
Jmn polen sana ndigu zetu
2026-08-17 20:07:17
1
Sajent Salum :
wapi iyo kijana ajari
2026-08-15 13:02:52
1
Manager_yassin💥💥 :
vip waruguru wenzang wamesalimika kweli
2026-08-15 20:46:29
2
Mpek@1604 :
wamepon kwel
2026-08-20 04:40:45
1
Ramadhan ngoz :
polen sana aisee
2026-08-14 17:12:49
1
machialambo :
duh!
2026-09-02 20:39:57
1
Sume Nko :
hii gari mara ya mwisho alhamis nmeipanda ilikua ngapi na mm shida ya gear box iyo siku niliomba Sana Mungu nifike Moro mjini salama nashkur nikafika salama ila Tu nikajua Kwa njia Ile hii gari Lazima itakuja kuleta balaaa
2026-09-14 16:44:19
2
mr_fit💪🇹🇿 :
poleni sana kuna walinusulika kweli hapo 🤔🤔🤔
2026-08-17 02:41:44
1
Mrs J :
duuu nyumbani kwetu polen ndug zangu
2026-08-16 17:07:27
1
majata jr 🫶 :
eee jamani poleni sana kibangire hapo
2026-08-17 08:59:40
1
Manyota sp :
poreni sana vipi akuna maava lakin
2026-08-16 22:37:14
1
Maximilian Mbowe :
HII AJALI AKUFA MTU YOYOTE MIMI NILIKWEPO KWENYE IYO AJALI
2026-08-15 18:36:19
3
hamisi_urembo :
Ndugu zetu wamepona
2026-08-14 03:33:07
2
To see more videos from user @nasoromrisho, please go to the Tikwm
homepage.