@hubofwisdom.inc: Ukiona tu huyo mtu anakufanya usikie hizi hali... ujue huyo mtu hakuwa anakufaa. Ukikaa naye huoni kama kucheka ni haki yako ---- maumivu Heri akaye na wewe vizuri kuliko hata kukupa pesa "Uwepo wa mtu ni pesa kuliko pesa." www.hubofwisdom.com/media
je kuna huyu ukiwa mbali naye huna amani ila mkiwq wote Unaona yuko sawa na aman unayo
2026-08-14 05:46:20
13
🥰أم محمد :
hanifai 😂
2026-08-14 08:06:16
6
Toto zuriii😍😋 :
mpaka hapo hanifai madam leila
2026-08-14 13:04:01
14
Abla_fetty :
Ni kweli huyu hanifai mume wangu kabisa Yaan 😂
2026-08-14 17:57:08
11
Abubaa :
very true 💯👌
2026-08-15 03:59:15
2
user40659088844455 :
I see me😭
2026-08-17 06:39:43
2
Hevyii Swai :
naskia kulia😭😭😭😭😭
2026-08-21 19:16:44
3
Haffat Sule :
wallah tutakuwa singo wengi Sana maana tukiwatizama walio wengi hawatufaiiiiiii
2026-08-14 12:09:44
8
beb naluu🤍 :
Swadakta 👌🏻👌🏻
2026-08-17 21:06:55
2
Nimaa beauty :
Mbn mm nina Amani ila cm nayo naivizia🤣🤣
2026-08-19 05:54:24
6
👄Antie Swabie💋 :
True
2026-08-17 07:33:03
1
Rehma Omary :
kweli sijui kwanini isia ina sema sipo sahihi ila tunakaza na mbele kina tulaba
2026-08-14 06:39:44
8
Ashawaiddi😘 :
🙃😜😜kumbe
2026-08-17 22:24:39
2
Lucy Konge :
dada kweli
2026-08-16 20:36:22
1
zulfa suleima :
very true
2026-08-18 15:49:31
1
Aggy :
kweli mno
2026-08-26 21:40:06
1
Nelson mapasa :
Amen mama Asente sna
2026-08-22 20:44:28
1
@offical_lyne❤️💊 :
hisia t znakupa ukwel
2026-08-13 19:35:42
5
Angel Gateka :
next
2026-08-16 11:41:06
1
Luxe Hub❤️👑 :
Sasa huyu anaefanya kila kitu na hajwahi kusema nakupenda tunamuweka kundi lipi maan sieliw em nieleweshe na yuko biz ila nen moj tuu kwak anatii ni kundi lip nieleweshen sielew napendwa am,????🤔🤔🤔
2026-08-16 01:54:53
1
islaam :
wallah km upo kwenye moyo wang nimepat presh ganz sukari inaninyemelea hudum hamn anahudumia michepuko wala kukujal hat uwe unalia yy nifurah tuu
2026-08-15 09:55:28
4
Adija Deo :
nikweli kabisa 🥰🥰🥰🥰
2026-08-14 16:25:12
2
Rahmiee🤍🦋 :
Kweli kabisaa
2026-08-14 18:13:43
2
Jey Mamy :
yah na usifoc ukiona unaishi ivy patokee Alfu kumbuka mungu wa wote ata km wansema njee pangumu vumilia ila ukipta sehemu patoke uwo mseme usikufany mtumwa
2026-09-11 20:47:23
1
user4003473255708 :
Mashaallah tabarakah swadakta 🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 10:26:44
1
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.