Makini sana captain Dupa hii education iendelee🧠🙌🙌✅
2026-08-14 04:16:48
3
joselu_14 :
umeeleweka bro na umetisha
2026-08-13 18:29:16
4
🦋🦋..lalu...🦋🦋 :
mbona nimekuelewaa sanaa ivi apo mwalimu wa math atulie kbisa
2026-08-13 18:00:05
4
KING 🤴 MWATO OG💪💪 :
captain DUPA ..wee ni professionals kaka
2026-08-13 17:46:34
1
Gaddafi :
I salute you my teacher
2026-08-13 17:43:55
3
mwaisamtumbad20 :
una akili saana. Brilliant...
2026-08-13 18:08:40
3
sabby gurl :
I enjoyed today’s class 💪
2026-08-13 20:16:53
1
Ndonga boy :
Captain DUPA🔥
2026-08-13 17:42:39
1
Thobias Naibax :
hii yenye two process ilisha wai kutumika wapi
2026-08-13 21:36:51
1
ZOLONTO :
UMEKUWA MWALIMU MZURI MWENYE UWEZO WA KUELEKEZA ATA ASIYETAKA KUELEWA LAZIMA AELEWE
2026-08-13 19:10:39
2
mshua :
nchi gani zinazo miliki hydrogen bomb
2026-08-13 19:53:18
0
zidane_mtumba :
kaka video ya Leo ipo quality sana☺️
2026-08-13 17:22:37
2
akilimali :
umetisha
2026-08-13 19:17:51
1
Bonny :
😂😂 tulio muelewa tukutane apa
2026-08-16 13:35:46
2
True_Boe_🫵🫵 :
Kaka pole sana unatumia mda mwingi kufanya tukuelewe kwa mada uliyosema before 👊👊
2026-08-16 14:24:20
2
Grey :
kakaa
2026-08-13 17:21:28
1
Hans :
Kwa kifupi sana
Atomic bomb → Fission → kuvunja atomu
Hydrogen bomb → Fusion → kuunganisha nuclei za hydrogen
Nuclear bomb → jina la jumla linalojumuisha zote.
Mfano wa kulinganisha: Atomic bomb ni kama "injini" inayotumia kuvunja vitu; Hydrogen bomb hutumia mchakato wa kuunganisha nuclei, ambao unaweza kutoa nishati kubwa zaidi.
2026-08-13 19:01:18
1
AIZACK ANANGISYE :
nakubali wewe mkari
2026-08-30 15:43:54
1
Zuberi Mwakama :
kwahiyo iran ikonagi
2026-08-26 10:44:24
0
Anania :
Elezea Nucleur elecromagnatic pulse!
2026-08-24 17:26:43
0
Bob📊🇰🇪 :
Noma sana mkuu mbaka kiheleweke👍
2026-08-22 09:51:20
1
Elia Tondoka :
bro unajua kufafanua vizuri sana lazima upate like
2026-08-23 20:10:52
0
alwatan_massala :
kaka uko vyedi sanaaa
2026-08-13 17:27:15
1
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm
homepage.