@bongo_media: video

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 17:22:55 GMT
1042424
62452
8076
22310

Music

Download

Comments

aishersuleiman460
Aysher :
Hata Mimi naogea Supu ya kuku jamani
2026-08-13 18:44:06
7411
chuu5599
Ashley@🫂🥰 :
Sipendi kupandishwa kisukari 🥺🥺🥺
2026-08-13 17:54:20
6045
samra.ndemfoo8
samra ndemfoo :
Unajua tangu October 29 watu hawapo sawaa kabisaa
2026-08-13 19:03:00
1452
geert.nassoro
Geert Nassoro :
Kila mtu atachanganyikiwa kwa mda wake
2026-08-13 18:05:46
2188
barbie886547
AL HUBBY🐰🍎 :
😂😂😂me nachanganya maziwa,asari,miwa,limao,kachumbar na chumvi kwa mbaaali😂😂
2026-08-13 18:12:26
1291
lizzy.tz.lizzy
Elizabeth philimon :
Nyerere amka baba uone watu uliowapigania uhuru 😂😂😂😂
2026-08-14 09:09:25
539
ba.ochu1
ba ochu 45 :
me naogea oil ety
2026-09-02 14:14:25
0
fatahow_shukri
Fatahow shukri :
Labda ishirini ya TZ ni mbili(2)😂
2026-08-13 20:10:30
1422
elizabeth.beth12
Elizabeth Beth :
watu wangu wa +254 mko wap😂😂🤣 sisi twaogea yoghurt na tende 😂
2026-08-13 21:17:32
530
mumboss3
leyla salim🇰🇪❤🇹🇿 :
jamani tupunguze uongooo
2026-08-13 17:52:28
483
abbyagll513
🦋🦋 :
Nyerere angejua asingepambania uhuru 😳😂
2026-08-13 22:38:25
36
user6323971003399
clarisse :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa🤣
2026-08-15 06:05:13
14
claramushi416
official killah 💕 :
namlaumu sana Nyerere ku2mia nguvu zake kutupa uhuru😂😂😂😂
2026-08-14 11:23:21
53
luvly_naemah
👾 :
mi ata sija oga toka jana🥺
2026-08-14 14:37:04
23
abu_farouq1
Abufarouq :
tupige hesabu kidogo anatumia Lita 10 kwa siku na anaoga mara 20 kwa hyo ili Lita 10 itumike mara 20 ni lazima atumie 0.5 Lita ya maziwa kwahyo hayo maziwa nusu Lita sio ya kuogea ni ya kunywa na vitumbua pale kwa mama muuza
2026-08-17 19:18:23
6
melyvisbecky
Head girl💞💞💦💦💦❣️❣️ :
🤣🤣🤣mm najua maji n ya kukunywa hio habari ya kuoga ndo sina 😂😂😁😁😳
2026-08-13 22:21:37
6
browsepurpy
👑Browse🤘purpy ✨🎶✨ :
usikute Tanzania nd channel ya vichekesho mbinguni 😅😅😅
2026-08-14 03:36:04
154
flair.yuu
flair.yuu :
hata mimi jamany naoga na unga wa ngano nikitoka apo mwarabu ni mimi😅😂
2026-08-14 12:04:09
10
majourrosemajour
Moo Love :
hospital ya milembe zinatakiwa ziwe kwa wingi jijini dar
2026-08-13 18:33:11
158
user2081049304670
Junior 38g :
Huwezi amini mi naogea damu ya yesu lohoni mwangu ety@
2026-08-14 21:23:32
14
itsgeorge04
George 🧎‍♂️ :
nifundishe kunyamaza ivi ile nyimbo kaimba nani anaejua comment hapo😂😂😂
2026-08-13 18:51:17
823
hellen.jaccob
Hellen Jaccob :
hii nchii uhuru umezidi saana😏😏
2026-08-13 17:57:55
327
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About