RAHAFIKI 🌹♥️💞🇰🇪 :
Mimi nikiwa DCI nitajishika 😂😂😂,,,,
nikikumbuka niliwahi enda undercover kama CID nikakufia dem nilikua na investigate ,,,,,😂😁🤦 karibu nimwage mtama ,,,, mama yangu 😂😂 napata simu from headquarters, police wamekua Mimi ni undercover na Haifai kujulikana 😂😂🤦,,,, ikabidi ni resign na niende ushagu na kutupa simu wasiniue 😂😂🤦,,, 😂😁
2026-08-13 22:57:39