😭😭😭Nitakuwa Mwaminifu kwa Mume Mwanaume Wangu kwa Ajili yangu na Heshima yangu hatakama yy Atabadilika nitaendelea Kujitunza Kwa Ajili yangu Binafsi si kwa ajili yake...Maana watu hubadilika😭😭
2026-08-15 18:45:43
19
Nahya Ahmadi :
duuuh,,Kumbe wanaume wapo mungu nijaalie uwaminifu
2026-08-14 11:11:58
10
marianasasmos :
WiFi haiishi leo, kwahiyo nitakusubiri tu uamke ili twendelee
2026-08-14 15:29:02
5
Ivan joseph :
asa analia nn duuh!!
2026-08-13 17:47:02
4
mariamwamafupa :
daaaah adi nimetoa chozi mungu. nipe mwanaume mwa namn iiiiih nikibatik kuolewa niepushe na tamaaaa mwenyezi mungu nilizike n mmoja ty daaaaaah🙏🙏🙏
2026-08-13 18:20:00
26
Nazimath Kasigwa :
hivi ni kweli au move
2026-08-13 22:02:25
5
JC@macha :
jamani wanashuti au nikweli?????
2026-08-14 06:45:11
5
happiness silas :
Ety bado anamuita mme wangu ila huyu
2026-08-13 18:51:14
8
Joy :
don't cry in laboratory
2026-08-13 19:47:56
6
mamy sahill :
duuuh maskini 🥺 kaka wa watu , polee ake
2026-08-13 17:45:46
6
dacity❤💕💫 :
dah mungu alinde ndoa zetu jmn
2026-08-13 18:36:44
6
To see more videos from user @ivan_oneseven, please go to the Tikwm
homepage.