Furaha ikizidi sana unajikuta unawakela wenzako bila kujuwa 😂
2026-08-14 07:49:27
22
MTU SAFI 2 :
😂😅😂😂 huyu mzee anakela ebu mwenyew namba ake anpe
2026-08-14 09:51:22
11
Fetty hajji :
huyu mzee ana vibe balaa anatokea tawi la tandale kwa mtogole wazee
2026-08-13 20:24:58
17
Eng liuu :
Simba bingwa. Oooh sorry YANGA BINGWAAAAAA
2026-08-14 09:13:29
1
yasir :
nani anaangalia hivyo jamn
2026-08-13 19:58:15
7
7thompole :
utarogwa we huon huyu mzee😁😁😁😁
2026-08-13 20:30:30
7
Omari Halifa :
huu ni utani wa ngumi nashindwa kuwaelewa
2026-08-13 20:23:14
5
user9801621734534 :
umejua kulikera jitu apo
2026-08-13 20:39:07
6
Kagame R.K :
huyo ndio anaivuruga simba.
2026-08-14 10:13:00
1
offical nino :
Namkumbuka bab angu alikuw simba alikuwa anatufanya tuwe simba ila mungu akamshusha alivy wa ajabu mtot naipenda yanga mbk kelo saiz ningekuwa namchek father tu
2026-08-14 05:52:21
5
farida🥰🌸🔐 :
waooooooo
2026-08-14 15:44:37
0
user81369229374238 kasiaka851@ :
🤔🤔🤔Babaake nani uyu au msela 😅😅
2026-08-14 07:46:40
0
Mgaya Rose @🌹 :
Anaangalia mzee mwenzake anavyopata rahaa 😂
2026-08-14 07:42:31
0
grace :
humu tuy
2026-08-14 05:23:28
0
rheynasolo :
Me naskia raha jamn😅
2026-08-14 10:42:45
1
jesck nalin :
Sijui alikua anasema nn moy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😷
2026-08-14 08:28:42
1
To see more videos from user @b0bchide, please go to the Tikwm
homepage.