mbona macho ya uyo jamaa siyaelewi kwa wachezaji wetu
2026-10-11 07:56:10
13
Prime Muroh.. :
mbona video ya kitambo hivo hii
2026-10-11 07:59:33
5
Juliethmaya93 :
Me ni yanga ila namwonea huruma dumbia jamaniiii 🥺
2026-08-13 18:37:38
200
Lucy Young Sports Club 🌟 :
Kagoma kamtazama jicho la kusema injinia mimi hunioni ulimuona sele tu 😁😁
2026-08-14 02:19:08
166
Swaum Ally :
hapo anachukua nyota za wachezaji wetu hii inauma sana 😭😭💔
2026-08-13 19:20:02
42
junglequeen (unganasafaris) :
Doumbia anatia huruma daaah
2026-08-13 19:24:24
23
SAMMY ✍️ :
KWA CHAMA JR HAPO ADMIN RUDIA KIDOGO SIJAONA VIZURI😁😁😁
2026-08-13 18:30:36
52
lizy cute :
ukiona anasalimiana nao hivyo ujue anatafuta wakuondoka nae😁😁
2026-08-13 21:34:28
45
Time is Money :
apo tajiri anakagua wa kuondoka nae
2026-08-14 08:40:55
29
Asifiwe Sanga :
doumbia mbona anatia huruma
2026-08-13 18:14:17
27
jamesmussa842 :
kama unaipenda yanga sana like apa wajuwe tupo wengi
2026-08-13 18:29:56
64
Aem _Ammy Evve 🦋 :
angalieni angalie hapo mnaweza toka na mwingine🤣😂
2026-08-13 19:01:12
14
Kelvion23 :
Wasipo angalia wasipo angalia😂😂😂 atapita na mmoja wao hapo
2026-08-13 18:09:57
8
seche :
anawaroga bila wao kujijua
2026-08-13 19:07:22
7
Teddy Alfredy Music Official :
Anatafuta tumuibe nani hapo 😂
2026-08-14 08:45:50
5
ashlee_.36 :
upendo wa mtu upo katika moyo wake engineer Herris ni mcha mungu ndio maana anapenda watu inshaallah mwenyezi mungu akuzidishie kila kila la kheir kaka
2026-08-14 07:21:54
5
Yusco bob🍁🔥 :
mwakan ten gonga kopa
2026-08-13 18:09:41
8
Eria Dotto 🇹🇿 :
jamaa anatia huruma aisee
2026-08-14 07:50:19
7
Robert Mtipuka :
Apo ana angalia amchukue player gani wa mwisho😂
2026-08-13 18:46:00
6
Timothy finest :
mm ni yanga lakn kuna mda namuoneq huruma osmen🥺🥺
2026-08-13 18:38:29
10
@de nice :
Nan anaukumbuka huu mchezo🤣🤣"""namtafuta mke wangu namtafuta mke wangu....hapa ayupo hapo ayupo"""
2026-08-17 20:39:12
1
To see more videos from user @youngafricansscofficial, please go to the Tikwm
homepage.