wamama tunaielewa hii😅😅Yani ukiwa unabembeleza mtt vinyimbo vinakuja kuja vingi ilimradi tu katoto katulie😅😄😅😄me hadi nyimbo za sadaka kanisani nishaimba sana
2026-08-14 05:16:44
254
am ninoh :
new challenge hiyo😂😂
2026-08-14 04:01:21
97
Ololufe_Me🥰 :
tuko na wewe mbaka tutoe albamu😂😂
2026-08-14 08:14:14
536
Like H…Flower 🌸 :
Le nouveau challenge 😂😂😅😅😅😅+243 tujuwane 👋🏽 👋🏽
2026-08-13 20:07:53
98
nida john :
eti mtu kasema jux ndo anamkera ollie ila😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
2026-08-16 16:57:00
17
yuzzo,, quotes✍️ :
tittle plz😆😆
2026-08-24 02:42:04
0
Bi Aisha :
Latifa amkwaza baby olie❤️
2026-08-14 21:01:30
0
hanaty :
Allah akulindie mtoto wako kipenz amiiin
2026-08-14 07:34:42
61
mama1010@ :
wema ebu posti ikiwa unamnyomyesha 😂ili tuamini
2026-08-14 12:16:09
5
Sala Jumbe :
maisha marefu na mwanao
2026-08-13 21:53:12
19
Theresia Kikula :
ipo siku na mimi ndaimba wimbo mzuli zaidi ya huu wa wema mungu nikumbuke 🙏🙏
2026-08-14 07:03:36
15
Hamida Ahmad :
Mpka kufikia January 2027 tayal tuna album da wema
2026-08-14 12:07:19
51
Mom Double F ❤ :
ukiwa una Lea lazima ujuwe kuimba
2026-08-14 04:06:11
30
it's nelia :
jux huyo amkera roho yako
2026-08-14 15:11:09
13
miss neshie ❤️ 😍 🇰🇪 🇹🇷 :
content creators mko wapi..new one😂😂😂
2026-08-14 07:06:29
28
florah😘 :
naisubili hii challenge maana wa bongo hawapitwi
2026-08-14 06:16:45
54
🦋Tediee🧸💕 :
Ollie anahc kapata wa kucheza nae kumbe ni Mama ake😁
2026-08-18 02:52:14
5
To see more videos from user @therealwemasepetu, please go to the Tikwm
homepage.