@faith_revival_: #foryoupage❤️❤️ #christiantiktok #biblestudy #worship

Faith Revival
Faith Revival
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 August 2026 19:52:53 GMT
955697
171062
13976
9519

Music

Download

Comments

muthoni2873
Muthoni✨🥰 :
thank you lord for your protection 🙏🥹
2026-10-07 06:56:34
0
joshuau_joseph
joshua joseph😂/king jo's :
kama unaamini mungu yupo piga like apo
2026-08-14 18:08:12
4307
user52797206734256
valeria Thomas ❤️❤️ :
mungu baba wa mbinguni hakika hakuna kama wew ambae unatupenda sisi watoto wako mengi tunakukosea lakin wew Bado unatupenda Asante mungu kwa upendo wako unapambana namaadui wasio tupenda unatuwekea ulizi ambao hata sisi hatujui tunavukaje 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-14 06:05:51
1833
user7310843381093
Iam de joker :
thank u God aighty
2026-10-07 15:38:41
0
johnnjunge31
John Njunge :
thenks God for this fer, probably protection thenks you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 God 💕💕💕💕💕💕💕
2026-10-07 15:50:07
0
sillelly4
Ms Sillely🌹✨ :
😭😭😭daaah, kumbe nikiomba ulinzi ndo Huwa inakuwa hivi Asante Mungu wangu
2026-08-14 07:27:09
1154
user2833448691483
young janja :
Wewe unaesoma comment hii: Mungu akafungue milango yote iliyokuwa imefungwa mbele yako. Yale majibu uliyoyasubiri kwa muda mrefu yakakufikie siku ya leo, na kilio chako kikageuke kuwa kicheko cha furaha na ushindi.
2026-08-16 22:56:26
614
shaniz933
mercy61617 :
Asante mungu jina lako lipewe sifa🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-14 05:26:19
548
lilian9000
lilian :
ooh lord protect my son and my family's like this in the name of Jesus mighty God amen amen amen amen amen amen 🙏🙏
2026-10-06 06:20:45
0
didaa8314
didaa :
amen in jesus name
2026-10-07 10:56:51
0
deouser7541144053161
deo yonzo mashine ya kaz 💞💞 :
thanks god
2026-10-07 18:19:09
0
user6698727245597
babacathe :
hata kama ni video za kutengeneza ila naamini mungu anatupenda sana ahsante mungu
2026-08-15 05:49:18
183
alexmalimichacha
zabron :
kama unaamin mungu ni mlinzi wa maisha yako gonga like hap
2026-09-09 16:55:31
38
vailethkibissa
vaileth :
asante mungu wangu kwaulinzi wako
2026-09-13 19:01:42
12
nelius2546
Nellneshy🥰 :
This touched me for sure 🥺
2026-09-13 05:40:03
6
hellensalugag3
hellensalugag :
Michael malaika mkuu pa moja na mailaka wote watakatifu mnilinde tena siku hii amen 🙏🙏
2026-08-14 18:23:29
50
user2363700546973
Mumbere Valère :
Asante Mungu kwa ulinzi wako kwetu
2026-08-14 18:28:43
5
minna9661
minnah 💫🌹🫶 :
Asante mungu Kwa kuniona mm wa thamani sana kwako♥️♥️♥️
2026-08-15 11:06:30
5
kama.karonge
kama karonge :
asante sana mungu kwa wema wako
2026-08-14 05:20:23
6
its_.angel07
Its_ Angel 💞🍁❤️‍🔥 :
Eee Mungu Nikulipe Nini Mimi Baba Sioni Kinacho Faa Nimekuta tu Machozi Yana NiLenga 🥺 Asante Mungu 🙏 Wangu ASANTE BABA 🙏
2026-08-14 06:17:05
27
subrahwanga
Subrah Wanga :
asante mungu hvii ndo venye na lindwa laaha sanaa asante mungu
2026-08-21 13:49:11
6
ligtiness
light ness :
hakika mungu anatu penda sana sifanautu kufuni vyake🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-08-14 18:31:07
13
annacoco26
Annah coco🦋🌿 :
kumbe napoomba nakusema malaika washikao upanga ukatao kuwili ndo hii,MUNGU nakupenda,🙏❤️😭
2026-09-12 11:47:14
11
marthambalwa818
marthambalwa818 :
asantee sana eee mwenyezi mungu kwa kunilinda
2026-09-15 19:03:24
19
agneswamuyu429
Wesh🦋 :
Thanks God😭who is crying 😭 with me
2026-08-15 07:24:29
73
To see more videos from user @faith_revival_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About