najambo langu tareh 26/9 tukutane type c kigambn vipenz🥰
2026-08-14 11:34:51
14
cute @lice🌹❤️🥰 :
😂😂😂😂😂 mtumeeee nimefikiwaaa 😂😂😂🙌
2026-08-14 05:26:07
12
Ms Zuuh ✨❤️. :
Any way nina jambo langu mwezi wa 11
2026-08-17 17:24:33
0
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
nna jamb langu mwakan
2026-08-17 12:16:24
0
Rose chocolet🌹 :
😂😂😂😂nina jambo letu trha 20
2026-08-18 10:20:34
0
Minnah fundikila :
28/11 jambo langu inshallah
2026-08-16 16:05:31
1
annaherastho :
nletee kaka akoo😅
2026-08-14 12:02:49
0
Mrs Amor🥰🥰🥰 :
saw basi nmesikiaa😂😂😂😂😂
2026-08-18 07:43:53
0
flower hatun 🌹🥀 :
kwani tunajioa,, kama Mungu hajapanga 😁😁acheni jmn
2026-08-18 06:26:35
0
ñgwëdë_45 :
aaaaaa,,,😁😆😅 hy zuriiiii xan
2026-08-15 04:52:33
0
ajjuh@ :
Kwa iyo kama m.mungu hajapanga nisifurahie yawenzangu
2026-08-17 10:58:42
0
mary :
mie mwenzenu shoga angu kaniumiza yani me nimepta mimba nimekubaliwa na bwana ananioa 🥺🥺🥺🥺yye ndo kwanza akipiga story anasema me ndoa sitaki huo ujing ndoa ndoa ndoa kitu gan stk kbsa msiniambie eti hiyo ni haki ? kupiga hizo story mbele ya rfki ako aliekubali kuolewa au me naumia bure tu?
2026-08-17 06:12:50
0
ياسمين ☪️ 🎀 :
niacheni
2026-08-14 08:23:25
0
🥀🥀khalima🥀🥀 :
kama mungu ajinibarike Sasa nifanyajee kuku maji mwenzangu