kuna siku nilikua natembea nae gafra nikachange muelekeo anauliza tunaenda wapi nikamjibu twende tu basi tumefika sehmu makaburini... tumefika pale anashangaa😳 hapa tumekuja kufanyake.nikamuuliza hapa wapi akajibu makaburini..nikamuliza pamefanyaje.akasema si watu walikufa ndio wanaletwa hapa... nikamjibu good boy..sasa ukicheza na hisia zangu hapa ndio mahala pako sahh pakupumzika🥺🥺
2026-08-15 09:09:16
28
Nipher🦋 :
Umetisha sana
2026-08-14 06:59:44
25
Mary Alpius :
hahahahaha me nilijua zawadi
kumbe tunguli kesho naenda na fuvu
2026-08-15 11:32:53
10
mimah💦 :
😆😆😆 amenikosha
2026-08-14 07:23:52
1
🦋official🦋 zuhura🦋 :
kabsaaaa🤣🤣🤣
2026-08-14 05:57:33
9
Mrsgerod 🥰🥰 :
siku nyingine nabeba sanda najifunga kwenda kuoga 😂😂😂😂
2026-08-18 15:26:05
6
Bquee🫀☠️💀 :
Tunachanganyikiw pol pole na hii sayari ya tatu😂😂
2026-08-14 20:06:20
4
£sther ernest💞🌹 :
10/10 nalip chap
2026-08-14 15:15:51
1
wituu babluu :
watu saiv wanaenda na waganga kama marafiki zao😂
2026-08-14 20:44:55
8
Hawa Martine💝💝 :
big up saba
2026-08-14 16:10:51
1
Rominashii :
kabisa😁
2026-08-14 06:41:22
6
Naylat Lady :
sitawafundish yote,, ila m had ananiogopa wallah😅😂. sitaki mchezo marafiki zangu lazima wale wali either uwe msiba or harusi, no time to waste😂🤣😂
2026-08-14 08:11:22
6
Patrici@🥰🥰 :
🤣🤣🤣🤣 jamani sindio nitaachika kwakesi ya ushirikina
2026-08-15 07:16:25
0
🩵ZUU MINDSETS 🫅🩵💥 :
100/100
2026-08-16 17:24:24
1
queen noellah :
yaan Niko serious na huusiano😂😂😂😂
2026-08-21 15:50:11
1
suzzy kimaro 💦💦 :
kun muda mapenzi yanaisha sasa
2026-08-16 18:48:49
0
gwesso :
2026-08-14 06:44:27
0
Anna :
nikajua biblia 🙏
2026-08-16 11:21:05
3
To see more videos from user @legrandmastory, please go to the Tikwm
homepage.