@j_town_motors: 🚘 J TOWN MOTORS 🚘 Unatafuta gari la ndoto zako? Umefika mahali sahihi! Sisi ni waagizaji wa magari kutoka nchi mbalimbali duniani, tukikuletea magari ya kifahari, ya matumizi ya kila siku, ya biashara na ya bajeti tofauti kulingana na mahitaji yako. Haijalishi unatafuta gari la bei nafuu au la kifahari, J Town Motors tupo tayari kukusaidia kupata chaguo bora kwa uaminifu na huduma ya kiwango cha juu. 📍 Ofisi: Mtaa wa Mwambene, Jengo la Monalisa Mall. 📞 Wasiliana nasi: 0768 717 488 Karibu J Town Motors, ambapo ubora, uaminifu na kuridhika kwa mteja ni kipaumbele chetu. J TOWN MOTORS – Gari lako la ndoto, jukumu letu. 🚗✨

J TOWN MOTORS
J TOWN MOTORS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 05:24:58 GMT
88782
1954
81
196

Music

Download

Comments

world202661
Disney :
Ushuru wa Bongo ni kama vile unawanunulia TRA gari yao na wao
2026-08-14 22:17:39
29
hanifsengu
Hanif Sengu :
i bought 47,000$ ZERO KM HAPA HAPA
2026-08-14 11:57:00
6
360motorscarhire1
360 motors :
ulienda yadi kwao na pia ulienda kiboss au mimi kesho naenda na kukupa bei halisi naenda ofsini kwao kabisa
2026-08-14 12:23:37
6
dullah.waya8
Dullah waya :
Kwa ushuru wa aina hii nchi haiwezi kusonga mbele watasonga mbele watoza ushuru tu. 😏
2026-08-14 12:55:11
14
ezekielilemweli
Mr dillo the don💼🌎 :
Ushuru nikama unauziwa upya huku 👏👏
2026-08-14 18:48:07
11
choosen_one02
Choosen_one :
Jei tua!???? 😂😂😂
2026-08-14 17:36:40
4
taika.tz
Taika store🛍️ :
Ushuru na bei ya gari sawa heehe tnzania ina ngarangara🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 12:01:13
2
mulattojunior
Mulatto junior :
Ila TRA bhna,bei ya kununua karibu sawa na ushuru🥺🥺🥺
2026-08-14 12:44:04
2
singlemumy5
Kitike outfit 😍 :
Hongereniiiii wote mlionunua…jamaniiii mi Sna hiyoo elaa a wish nipewe nijenge ninunue na kaist kangu ml 44tu.achana na Jodi ya tra.weee million 90 faamasiharaaa nn
2026-08-23 10:33:35
1
mussa.mussa1
MERCEDES TRUCK DIAGNOSIS :
ushuru ni kama tra wanakataza kiaina tusinunue vitu kutoka nje m32 ushuru
2026-08-15 05:53:10
3
user8154304797714
user8154304797714 :
mbona kod kubwa sana alaf Bado nchi nimaskin
2026-08-15 17:55:33
2
user987516236305
one love :
yani ushuru unakaribia na manunuzi?!! dah
2026-08-14 19:01:31
1
wizkevin2383
Wiz Kevin :
tz ushuru unazidi bei ya gari lenyewe,manina zao serikali
2026-08-14 15:23:52
3
fey.002
🥷 :
kaka, unaangaliaje ushuru
2026-08-15 07:16:34
1
officialmarthag1
Martha G :
😂😂😂😂😂😂ndio sio bei
2026-08-14 18:25:07
1
chrisadam894
Pson accesories :
Hapo hujapiga usafir au wanasafirisha wenyewe?
2026-08-14 13:35:46
1
moseskinjubusines
Moses kinju business :
Kaka ni kiwa inje ya inchi ina wezekana aje kwa Oder zetu
2026-08-14 07:23:04
1
man.man6752
Man man :
Sasa hizi ndo gari wachana na zile zingne takataka
2026-08-15 14:55:38
1
abuuqatad
don173 :
jetour dashing je?
2026-08-14 09:08:29
1
bagambajr255
Eng. Cosmas Bagamba :
ushuru wa bongo ndio tatizo..nipo congo mji mdogo tu wa migodi kolwezi, kuna magar ambayo hata bongo hayapo nilikuwa nashangaa hawa jamaa wanamiliki vp ndinga kali hv, huku hawalipi ma kodi kama ya bongo.
2026-08-15 01:19:33
1
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
aise yaan ukiwaza kununua gar kwa bei flan basi pia uiwaze serikali kwa kiwango hicho hicho cha gharama ya gar unalolitaka aise hatar sana
2026-09-18 20:58:53
1
venture_eshop
Venture_eShop :
Yan bei ya ushuru na gari 😭😭😭
2026-08-14 12:31:45
1
wabaya2553
mosani mitumbaTZ :
inatupia umeme au mafuta
2026-08-14 12:08:39
1
brazilerop
Brazilero :
Zipo huku kwetu Pugu road kwa M130 tu unapata kitu kipyaaaa
2026-08-14 20:30:22
1
joskimmaro
Jose Maro :
left hand then ni 1.5l sio 2.0
2026-08-14 07:21:41
1
To see more videos from user @j_town_motors, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About