@hamasikatv: Kadiri mwanamke anapozidi kuwa na pesa uwezo wake na utayari wake wa kumilikika na kuongozwa na mtu mwingine unapungua - Deo Sukambi #hamasikatv #badilishamchezo
Sijawahi kuolewa lakini sio ndoto yangu kuolewa niliona mama yangu akiteseka kwa baba yangu ili tu atukuze sisi watoto zake 😭😭
2026-08-14 18:46:35
16
mariamshawishi :
mwanaume akijua unapesa anawaza ninamnagani atazihamisha ziwe zake
2026-08-16 10:35:40
12
Vee collection 🌸😋 :
Nipate tu hizi pesa sasa 😁
2026-08-14 17:59:57
4
Momy💦❤️ 🥰 :
uo ni ukweli mchungu 😭😭😭ukikosea kidogo utaskiq unanzarau kisa izo pesa
2026-08-18 20:28:59
1
maviatu :
mniambie faida ya kuolewa ni nini?😂😂 au ndo mateso shida na kuchakazwa😂
2026-08-16 19:56:31
5
Mamaa♥️🦋 :
Yan niwe na pesa af niolewe nefaaaaaaa😅😅😅 sahiii nikipata tuu ef kumi cmpokeleiii cm 😁😁😁
2026-08-16 08:57:12
4
Priscar Ladies choice :
mi nimegundua nikipata hela najiamin zaidi naacha na kupokea cm
2026-08-17 08:04:02
4
Cute Debby OG :
kiongozi lakini pia mwanamke mwenye akili sana ya maisha anaogopwa
2026-08-16 07:54:35
4
Maryam shori :
Mm ndo sitaki ata kusikia palipo baki najiowa mwenyewe😁
2026-08-14 18:16:04
9
doreentarimo :
mpnz wangu kaniambia kuolewa Kuna heshima yke 🤣🤣,,nmeshindwa kumjibu tu asioneone jeuri🤣🤣
2026-08-18 05:44:48
2
Samia the boss lady :
kuolewa kwa sasa sio mchongo kabisa😂😂
2026-08-14 20:48:07
6
user24024190945116 :
Tatizo si kuwa na pesa bali ni kukosa hofu ya MUNGU, mbona wapo wengi wenye na wameolewa na wanaishi vizuri.
2026-08-15 05:02:25
0
kasekwa :
ndoivyo tunavyotaka
2026-08-14 07:28:07
7
jeniroooo :
😞😞😞 kwakwel
2026-08-14 20:31:06
1
Tammie_Store :
Kwanini mtu amilikiwe?😳
2026-08-20 08:47:05
3
Laurencia :
tunapenda mtuongozee ila zarau hatutakiiii
2026-08-22 13:58:59
1
Winners Store :
najiona huko kwanza naona kila mwanaume anayenifata akilinyake haina ukomavu ninacholiwaza mimi yeye hana yaan naona ubongo wake kama haufanyi kazi vizuri me nawaza mipango mikubwa yeye anawaza mipango midogo daaaah sometime nawaza or ninadharao nahapo bado najitafuta sijajipata bado🤣
2026-08-16 05:44:12
2
Whitegenuos2 :
Binafsi ndoa hapana kwakweli
2026-08-14 17:27:49
4
Dicho :
Duuh sasa itakuaje
2026-08-14 07:53:02
2
herry collection :
kw nn nimilikike jmn wakati ndoa nikupendana na kupeana furaha ikiwa pesa ipo jmn
2026-08-14 17:26:54
2
𝐂𝐡𝐞𝐮𝐬𝐢 𝐌𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐚🩵 :
2026-09-07 18:25:30
0
beuty gradness@ :
bora iwe ivo Manungu atupe zaid
2026-08-14 08:02:10
0
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm
homepage.