@blackqueentz: Nakujua vizuri huyo sio wewe, haukuwa hivyo... ama UMEROGWA?" 😭💔@IRENE NATURAL’S🌿 video imetoka ipo youtube (black queen-umerogwa) Produced by @producer perfect #heartbreaksong #brokenheart💔 #viralvideo
black queen tz
Region: TZ
Friday 14 August 2026 05:43:59 GMT
Music
Download
Comments
black queen tz :
Video ipo YouTube
2026-08-14 09:07:48
56
Queenmaryam👑 :
Umenikumbusha Chemical 🥺
2026-08-14 14:17:15
61
kassboy_malonga :
on Lik pls
2026-08-22 15:24:04
0
SULTAN 006 :
watu wa blood group O tulikosea wapi
2026-08-16 12:37:17
16
mary kim :
title pls
2026-08-15 07:12:32
7
Liam lysm :
name of the song
2026-08-20 07:20:24
2
Queen amin :
my lovely song
2026-08-14 21:55:23
2
Life :
“Bro, mistari bado haijakaa sawa, haina mashiko. Jaribu kuzingatia kwenye flow na consistency zaidi.”❌❌
2026-08-14 11:52:39
4
charming :
nyimbo zuli kwa wale ambao bado wanalilia mapenzi walaiii 😂😂😂😂😂 msinifokee naumwa akili yangu aiko sawa😁😁😁😁😁
2026-08-15 10:08:35
5
prisca :
kwambali ana fanana na remmy wa mamachanja🥰😂
2026-08-16 15:47:35
3
vinii :
song name please
2026-08-15 14:53:21
0
big star boy :
we ni dadaangu kwanzia leo
2026-08-14 18:36:11
5
Director Mobisho :
blackiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-16 18:58:51
2
dev love :
Jamn jina la ngoma hii
2026-08-15 18:09:44
0
Bobby~Bobbie Larsh :
I like your song for really 🥰🔥🔥
2026-08-18 15:54:12
1
Paulo welema :
jina la nyimb naomba
2026-08-15 16:37:32
1
baraka wanaman :
mbona nyimbo kali ivo
2026-08-14 19:12:38
0
user7155808066353Henryeman :
ghaii oyeee nilikuwa nakupa uai
2026-08-18 21:51:30
1
MTOTO WA CHIEF 🤘💵 :
WOW!
2026-08-14 11:35:12
2
brianochieng2576 :
nimelia hadi kuchoka huu wimbo imefunua kidonda kilichoshapona 😭😭😭😭😭 haki angalau aniruhusu nione tu mtoto wangu 😭😭😭
2026-08-17 12:26:31
3
Aikah💙 :
nirudishwe huku😂
2026-08-15 18:26:14
2
Winnie :
darling remember we are together on this our baby is on the way coming
2026-08-18 21:13:38
1
Mike :
hiyo vibe imeweza
2026-08-19 06:02:11
2
oya mdada mbn unazingua mbna kazi zako sipati me nakukubari sanaa
2026-08-18 10:13:25
1
Rojas Floo :
inaitwaje
2026-08-14 20:54:11
0
To see more videos from user @blackqueentz, please go to the Tikwm
homepage.