@joharii747: Nipo dar kariakomtaa wa muhonda na congo Usafiripia tunafanya box pea 10 kwa 60000 box pea 20 kwa 120000 box pea 30 kwa 180000 box pea 50 kwa 280000

JOHARI SHOEHUB
JOHARI SHOEHUB
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 05:44:21 GMT
749161
20569
1084
1582

Music

Download

Comments

sweetyrose419
Sweety actress :
Hamna kiatu Cha 6000 nianinini mm mtanishukuru baadae
2026-08-14 17:05:40
90
810green
comfort zone shoes 👞 👟 :
endeleeni kutuona atunaakili sawa
2026-08-14 22:23:13
16
salha.classic3
@salha classic3 🦋💦 :
reja reja shngp
2026-08-14 07:59:41
7
rasifootwearstore
🥾RASI FOOTWEAR STORE👠 :
hizo bei ni za kweli hata mimi nauza jumla sio utapeli
2026-08-16 15:31:59
7
aiemfatna
fatna ❤️‍🩹🤌 :
Kuna mtu sio mda atalia 😂
2026-08-17 08:22:00
7
mmrahma06
realgirl💘💘 :
nataka pear20 Niko dodoma
2026-08-14 13:16:18
4
annarichard29
Olpaah✌️ :
Kila mtu atatapeliwa Kwa wakati wake 😂😂
2026-08-17 14:22:15
8
moniccalucas102
Monicca :
Mnapatikn wap
2026-09-21 18:27:47
1
sophia106cute
sophia💖cute :
namm naitaj navpataj nipokahm
2026-08-17 12:28:41
0
canisiasamwel928
Canisia Samwel :
minaitaj mnapatikan wapi
2026-09-14 18:50:20
0
suzywakamau12
lovely :
😂😂😂😂hiyo elfu 6000 ni ya kenya au tz??????mujichunge mtaoshwa
2026-08-17 12:17:00
5
user4217785278613
user4217785278613 :
kwan ukisema ulipo utagundua nn
2026-09-20 20:31:50
1
u3263403687356
Dizzo rulenga :
upo maeneo gani
2026-08-22 16:31:30
0
melissambinga
cute baby🥰😜😜 :
zinakua pis ngapi
2026-08-24 17:40:51
0
neema.john080
Neema John :
Nitumie namba yako tufanye biashara
2026-08-17 07:05:30
0
salome.mshuza1
Salome Mshuza :
jumla kuanzia vingapi
2026-08-19 17:14:42
1
leah19437
leah :
namba tafadhal nikuchek mpenz
2026-08-19 15:49:20
0
byandawilliam
byandawilliam :
mambo nataka pea 4
2026-08-19 20:15:34
0
user8959374041328
user8959374041328 :
namba namba niagize nipo mwanza
2026-08-17 11:59:50
0
angel.john524
Angel John :
Naomba namba nije
2026-08-14 12:20:12
1
user3440144961356
user3440144961356 :
mnapatikana wapi nataka PC 50
2026-08-17 14:41:35
1
dayanarushunju
Dee❤️ :
weka namba
2026-08-14 06:38:26
1
mankafolcot
Manka Folcot :
Nipo tunduma napataje
2026-08-28 10:21:39
0
sarah_deo
Sarr🤎 :
35 & 36 zipo??
2026-08-17 02:23:58
2
zuhura.charles
zuhura charles :
naomba unitumie namb watsp nataka pea 10
2026-08-17 07:31:41
1
To see more videos from user @joharii747, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About