unajua laki tatu unaenda ghali sana iseme laki mbili baba
2026-08-14 07:04:33
211
debby king :
300k ipumzike sasa kuna hii 70 baba😳
2026-08-14 07:22:49
120
Lina Lamecky :
Je sisi wa 70 Kwa mwezi 🤣🤣🤣
2026-08-14 20:57:43
23
it's 🍂@nn@h🫧🫧 :
Mbona unatupa kiburi ww kaka 😂😂😂😂
2026-08-14 14:25:20
18
STIMA_⚠️ :
nmeweka status boss ndio wa kwanza kuview
2026-08-15 23:17:23
16
Anna Mlay :
300k mbona umenda mbli sanaaakuna hawa wa 70k😂😂😂
2026-08-14 13:13:07
16
mo :
bora nyie wenye laki 3 mimi kwa siku naweza kurudi bila mia
2026-08-17 06:00:06
22
Officialbentana :
mi sina la kusema boss wangu asije akapita hapa akasoma coment yangu akanifukuza bure😁😁😁😁🙌
2026-08-14 19:48:21
14
willy recious :
kheee mm nna ubunifu na nalipwa ef3 kwa siku na sina off😂😂
2026-08-14 20:38:15
7
Ester :
😂😂 status moja kwa moja kama nikufukuzwa fresh tu
2026-08-14 11:21:25
13
“ :
Kwahyo tuache kazi tukauze cover za simu au sio 😂😂😂😂😂
2026-08-14 09:36:26
33
Lizberthqueen✨ :
natamani nieweke hii status ila naona kama unataka kuniponza nikose hata hiyo laki 3😂😂😂😂
2026-08-14 08:37:27
52
D.. $∆nity :
bro acha kuisema sana laki tatu watu wanalipwa laki tu
2026-08-14 06:41:00
15
fettyally :
yeyote anae acha kazi anayolipwa laki tatu anitafute nimreplace😂😂😂
2026-08-14 12:58:45
6
Miss Lee🧚🏻♀️ :
150k boss anakutuma juu 🤣🤣anataka ufundishe na ndugu zake🤣anataka uwah kazn kabla yake🤣anataka ufanye na usafi🤣 ujitegemee chakula na nauli😅😅aloooh laki 3 mbona nying kidogo
2026-08-14 09:33:08
11
Chiomer08 :
Nimeweka status boss wangu wakwanza kuona kalike kabisa😂
2026-08-18 09:41:47
2
Doren Johanes :
laki tatu bora wewe sisibwa laki je😳😳
2026-08-17 13:45:08
1
winnieflaga :
kakamm nalipwa 40k naomba hata hyo ya kulipwa laki tatu
2026-08-19 16:36:40
1
Monica Suzi :
weee laki tatu nyingi mm Sasa au ngoja ninyamaze
2026-08-19 12:48:40
1
ukhty saly :
100K je raki 3 me ntakuwa mbunifu asee
2026-08-15 09:21:11
1
charming girl @comfort💕 :
hahaaa yaaan wew
2026-08-15 13:39:26
1
Eunice__ :
😂😂😂😂
2026-08-14 10:24:12
1
Fatina Ilham :
si bora hyo lak3 me nalipwa elfu80 halaf et naambiwa nijiongeze
2026-08-23 05:24:54
2
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm
homepage.