@raudhakirobotouch: #TEAM KIROBO AWAMU YA MAENDELEO DK MWINYI RAIS WA MFANO #kirosafwat1🎶🎶💫💥💥 NDOWA NDOWANA

KIROBO COMEDIAN
KIROBO COMEDIAN
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 07:45:01 GMT
101413
4431
177
493

Music

Download

Comments

user1825829098172
🌹cuttey_eydar🌹 :
hili ni funzo tosha
2026-08-14 18:13:38
7
kishkopa1
Kishkopa :
KIROBO ulikosea Ulitakiwa utaje aya na sehemu ya sura ilipoteremshwa hatakama hukujuwa ilimradi wasikilizaji wangezidi kufurahi na intaviw yako
2026-08-14 12:50:03
8
user472120470
Abuu Ift-khaar :
Aya ya tisa surat Aa'laa sabihismah
2026-08-15 19:48:19
7
naaseifkara
Nadhkara :
Chaya😂
2026-08-14 15:19:22
1
umeme154
Umeme154 :
mbona komasava umeenda vizuri shehe 🤣🤣
2026-08-16 15:35:24
4
bebs.dillah
Bebs dillah💫💥💚💚💯💯 :
Nahic hii ni sahihi kupewa mkee😁😁😁
2026-08-15 09:49:17
7
aishasaid628
Aisha Said :
apo sawa 😂
2026-08-15 10:29:34
4
user7342329812976
user7342329812976 :
mungu awabariki kwa hili content yenu mashaallahu
2026-08-21 08:11:59
2
ndoi_r
Ndoi_R :
Huu ndio ujumbe wa hakika, hakika mmefanikisha kuitekeleza Sanaa itakiwavyo. Allah barik
2026-08-20 17:06:56
2
user54766797511851
summayya shaaban :
hizi ndio content sasa
2026-08-16 19:38:44
2
h.colombia16
HASSANI COLOMBIA :
mashallah ukumbusho mzuri
2026-08-15 08:28:29
2
sheekhamiis1
sheekhamiis4 :
Natmani wazaz wengi wafanye hivi vijana wengi tungejihami kusoma dini na kuifanyia kaz na Ndoa zingenawiri.
2026-08-17 15:06:31
1
honda7418
honda :
hii ni elimu na ukumbusho mkubwa sana😂
2026-08-14 10:17:41
7
mama.wawili.og
mama Wawili og :
kirobo wangu wautotoni 🤣🤣🤣🤣
2026-08-16 17:16:01
0
sakena614
Sakena :
kwisha weweee😅😅😂😂
2026-08-14 15:08:49
1
amar.mohd
✂️ ESCAPE barber shop :
tobaa
2026-08-15 17:40:58
1
nick.luu1
Nick Luu🦋💦🍇🌼 :
kweli wajan wengi tena watt wadog
2026-08-16 19:20:08
1
user2347468388781
user2347468388781 :
umetisha
2026-08-14 08:56:15
2
directordulayo
dulayo :
kanantendea kusudi haswa😁😁😁
2026-08-16 22:43:28
1
amooame
Amoo luxure :
Hii imeenda 🤣🤣🤣
2026-08-14 08:03:06
3
user8377681685091
ngole47 :
jaje
2026-08-14 12:50:33
1
cutebunnykipanga
Bint Sultan :
sasawa Mungu atuifadhi na aziongoze nafsi zetu maishani tuifadhike mikononi mwake Allah ✨️
2026-08-16 13:28:08
3
suleiman16_
16 :
nimepend xn
2026-08-14 14:22:16
1
lovellymam
lovelly❤️ :
na tulivyoshika dunia kwa nais wanaume wengi wangekosa wke kwa hali hii dah mungu atusaidie waja wke mitihani
2026-08-15 12:55:22
4
dr.mimah
dr.mimah🥰 :
Kirobo kwisha habar yko😂😂😂😂sheikh kirobo nenda chuon kwanza alafu uje tukupe mtu mke
2026-08-15 16:24:30
2
To see more videos from user @raudhakirobotouch, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About