@eghomotors: NDINGA KIBUBU kutoka EGHO MOTORS Usisubiri uwe na pesa zote ndipo ununue gari. Anza leo kwa kiasi unachomudu. NDINGA KIBUBU ni mfumo maalum wa kukuwezesha kuwekeza fedha kidogo kidogo hadi utimize ndoto yako ya kumiliki gari. Kwa nini uchague NDINGA KIBUBU? ✅ Haina kiwango cha chini cha kuanzia. ✅ Haina riba. ✅ Haina makato ya siri. ✅ Unaweka fedha kidogo kidogo kulingana na uwezo wako. ✅ Unaamua mwenyewe muda unaotaka kufikia lengo lako la kumiliki gari. Iwe unaweka kila siku, kila wiki au kila mwezi, kila hatua unayochukua inakusogeza karibu zaidi na gari lako la ndoto. Anza leo, wekeza kidogo kidogo, kesho endesha gari lako. 🔥 NDINGA KIBUBU
hii page imenifunza kitu ambacho kinanisaidia mpk sasa jinsi ya kutoa ukungu kwenye kioo cha mbele aisee waga ikifika saa kumi asububi pale bandarin nilikutana sanaa na hii changamoto ila sasa ni 🥰
2026-08-14 12:26:12
1
official-Malaki :
je ukiktana na T3 au T4 nini maana yake?
2026-08-14 10:04:02
1
bata9593 :
Asante sana
2026-08-14 21:45:28
0
To see more videos from user @eghomotors, please go to the Tikwm
homepage.