mm ndo mana nikiumwa kichwa sinywi dawa nakimwagia maji😂😂😂😂😂😂
2026-08-15 18:13:06
76
doctor abuu :
dawa ili ifanye kazi lazima iingie kwenye damu ikiwa katika mfumo wa molekuli zilizoyeyuka.
Kidonge cha paracetamol ukikimeza, huvunjika na kuyeyuka.
Baada ya kuyeyuka, molekuli za paracetamol ndizo hufyonzwa na kuingia kwenye damu.
damu haisafirishi kidonge bali inasafirisha molekuli za paracetamol mfano
Kwa lugha ya sayansi:
Kidonge Huyeyuka Molekuli za dawa Huingia kwenye tishu na Husafirishwa hadi kwenye cell na kutafta sehemu yenye ugonjwa ama maumivu ndo maana dawa zote nilazima zifike tumboni .😂
2026-08-16 05:52:32
61
Neymar lee junior :
zinapitia kwa round about
2026-08-14 20:04:57
31
celtic tiktok :
niliwahi kumuulza nurse mmoja hili swal majibu niliyopewa nikajiona sjui kitu yeyote hapa dunian