@batibombatanzania: 💥 MABATI CHENGA CHENGA — GAUGE 30! 💥 Kwa TSh 2,350,000/= unapata MABATI 100 ya CHENGA CHENGA, ambayo yanaweza kutosheleza nyumba yenye vyumba 3 + sebule + dining + kitchen. 🏠🔥 🟥Bei ya bati: TSh 23,500/= 📦 Bando: TSh 376,000/= Unajenga nyumba ya vyumba vingapi? 👇 TUTAMBIE KWENYE COMMENT! 💬 📞 WASILIANA NASI: 📱 0659502639 📱 0684502639 #BATIBOMBA #MABATITANZANIA #UJENZIBORA #CHENGACHENGA #UKIWEKAUMEWEKA
BATI BOMBA TANZANIA LIMITED'S
Region: TZ
Friday 14 August 2026 08:48:14 GMT
Music
Download
Comments
kyuku kumesa :
nahtaji mia nipo singda
2026-08-14 17:57:19
0
Amos Bukanu :
g30 bati 110 bei gan??
2026-08-17 10:40:20
0
hazla💔💔 :
yangu inqnvumbe vitano.naomba kujuwa mabatyi ni mangapi
2026-08-18 08:27:07
0
Alexander Dominick :
nahitaji 100 npo rombo kilimanjaro
2026-08-16 20:09:48
0
samsonmaige610 :
vyumba vinne na sebole
2026-08-17 10:52:58
0
zahara :
vinee
2026-08-15 05:38:23
0
sai2025 :
nyumba yangu ina vyumba 3 na sebule
2026-08-15 15:58:45
0
D@n! :
vyuma 3 na seble bati ngapi zanatakiwa
2026-08-17 04:47:50
0
loveness :
Ninanyumba yakupangisha Chumba,sebule choo x6 je kwanyumba hiyo inatumia bati ngapi
2026-08-16 09:07:48
0
Asha Simai :
vyumba 4
2026-08-17 11:06:31
0
Latifa Ally :
Yangu ina vyumba 3 sebule na dailoom chumb kimoj mast na choo cha pablik
2026-08-17 17:51:42
0
user6565038232224 :
namimi inavyumba vi 4
2026-08-15 20:35:08
0
user5058849474235naslini :
vyumba 4 sebule kitchen choo 4
2026-08-17 10:33:46
0
ابو سهيلة :
geji 28 bei gan
2026-08-14 17:56:27
0
zammy😍♥️ :
original hazipauki na warranty miaka mingp
2026-08-16 07:40:25
0
NINDWA GUJE SIMINA :
mnapatkana wapi kiongoz
2026-08-17 14:33:07
0
chapaspare01🏍️ :
Chumba mbili ukumbi, choo, dining na kitchen inatoshaa bat ngapi???
2026-08-16 13:21:14
0
Denis danieli :
mwanza munapatikana maeneo gani boss
2026-08-14 15:48:07
0
rawidarawida66 :
4
2026-08-15 10:59:08
0
kingsam :
vyumba kumi
2026-08-15 08:43:22
0
user9150534934059 :
Nyumba yang ina vyumba 4 vitatu master jiko sebule na dining je natakiwa bati ngapi
2026-08-14 10:41:05
1
SG.King👑 :
Vyumba Vitatu,jiko na seble
2026-08-16 18:02:56
1
mwanah :
vyumba vinne kumbi mbili vyoo vinne
2026-08-15 04:17:10
0
Goodluck Kissay :
vyumba 3, plus Dinning, jiko, choo, corridor, veranda mbele na nyuma.
2026-08-15 16:36:54
0
Chuga electric 💡⚡ :
Niki hitaji kusafirisha Ina kuwaje kk kupeleka paka moshi please
2026-08-14 17:05:57
0
To see more videos from user @batibombatanzania, please go to the Tikwm
homepage.