hakuna mzaha na dini ndugu zangu,najua mtanitukana kwa wale wasio na ufahamu kuhusu hili,na ndio mana mtume S.A.W amesema kuwa tutafute elimu hata kama ni nchi za mbali,haya yasingetokea. Ila kama ni kwa kughafilika ombeni radhi kwa Allah
2026-08-14 17:24:39
18
Abuujalaly :
Ni jambo la kusikitisha kuona aya za Allah zikigeuzwa kuwa maudhui ya mzaha na kutafutiwa views mitandaoni. Qur’an imeteremshwa kwa ajili ya kuongozwa, kutafakariwa na kuheshimiwa, si kuwa chombo cha burudani. Mtu anapaswa kuogopa kusema au kufanya jambo linalohusiana na dini bila elimu, kwa sababu heshima ya maneno ya Allah si jambo la mchezo. Kama content haina faida ya kielimu au ya kumnufaisha Muislamu, basi ni bora kuiacha kuliko kuifanya dini kuwa sehemu ya mizaha. Allah atujaalie tuheshimu Kitabu Chake na maneno ya Mtume ﷺ, na atuepushe na kuyafanya mambo ya dini kuwa mchezo. Nimaono yangu kwa kuwa Sina elimu ya dini
2026-08-14 17:51:35
8
Mr George Frederick :
kwani katukana Dini apo ?
2026-08-14 21:19:17
0
@Jay classic. R :
Iyo video futa haifai msileti mza na Quar'an ya Allah 🙏🙏🥺🥺