@uhamiajiband: Uhamiaji Band ikitumbuiza wimbo wao wa Tamaa. Muziki wenye ladha ya kipekee uliowapa wasikilizaji burudani na kuonyesha umahiri wa bendi katika jukwaa la moja kwa moja. Usikose kuendelea kufuatilia na kuisapoti Uhamiaji Band. #WasafiFM #UhamiajiTanzania #MjueJiraniYako #UhamiajiBand #Tamaa#mlimanicity @uhamiaji.tz