@realcareen_beautyp: Nadhani sauti inatosha🤣🤣 Sasa kuna watu wakiombwa hela ya kusuka minyoosho wanakasirika na hupati hiyo hela Wanasema kwani na wewe si unafanya kazi 🙄 Wewe kijana ebu kuwa makin hapo unapendwa na anathamini uwepo wako Wewe jikute kichwa ngumu utakula za kichwa🤣🤣🤣

realcareen_beautypoint
realcareen_beautypoint
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 10:40:26 GMT
63836
1132
119
421

Music

Download

Comments

cute.merina
cute merina :
asante
2026-08-15 09:23:27
0
recho.john.manyil
Recho John Manyilizu :
huyu nan mbona kaongea point sana
2026-08-15 09:37:01
2
user2370068532680
qnl :
Mi nishazoea siombi tena maana ukiomba ni sinasina duuuuh 🙌🙌
2026-08-15 10:04:45
2
rajjjjjjneymar
rajjneymar :
Sasa kama mtu muda wote analalamika hana hela utafanyaje?
2026-08-15 07:09:32
7
sara017912
Sara :
dah eeh mungu naomba mume wang aione hii😁
2026-08-15 04:49:38
4
happykimaro57
happykimaro867 :
m nishakua chama Cha upinzan🤣🤣🤣🤣
2026-08-15 09:38:16
1
brinasabry
Briana :
mi nashare kwake bhna
2026-08-15 07:53:40
0
mom.accessories12
mom accessories :
Mmeanza kutugombanisha sasa
2026-08-14 21:47:24
2
spicevee18
spicevee18 :
Naombeni mshare hii mpaka imfikie mpenzi wangu 😂😂
2026-08-15 09:23:51
0
happier958
Happier :
Asante
2026-08-14 21:02:54
0
waitresmstaafuuu
waitress mstaaafuuu :
ongeza sautii
2026-08-15 07:23:22
0
jannelly8
jannelly :
true
2026-08-15 06:45:37
0
_.thisisstella
Queen😍 :
bola uwasaidiee kuwaambiaa
2026-08-15 07:22:02
0
lisa307915
LISA🦋🦀♥️💍 :
hahaha nawezaj kuitoa I niweke status
2026-08-15 08:10:09
0
eliudj3
eliud :
kweli😁
2026-08-15 08:10:09
0
edwardupendo1
edwardupendo1 :
Nishasahau hata ni lini nikahudumiwa😂😂
2026-08-15 08:01:40
0
wakesho89
wakesho89 :
Umenena vyema👏
2026-08-15 06:38:26
0
mwan921
Nic :
Ngoja nimuite wangu @Steven njile
2026-08-15 07:33:07
0
helena.mapunda7
Helena Mapunda :
kweli kabisa
2026-08-15 04:57:26
0
zainab.barwani
Zainab Barwani :
mi staki basi😁
2026-08-15 05:50:14
0
femscollection_handbags1
femscollection_handbags1 :
sijuh nimtag Wangu
2026-08-15 07:57:39
1
ennymyk
Enny's Choice :
Chama cha upinzani hoyee
2026-08-15 09:46:46
1
aneth.niyonzima
Aneth Niyonzima :
naomba huy sanamu lake lijegwe wanawake kikao Cha meisho naomba tulijandili kbs na iwe hoja ya kwanza ♥️♥️
2026-08-15 10:11:51
1
raziya.ibraa
Raziya Ibraa :
hizo ni kusudi ukimpenda mtu lazima upambane utafute hela
2026-08-15 10:15:38
0
To see more videos from user @realcareen_beautyp, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About