@its_royaflygirl: Maisha yana vipindi tofauti, wengine huja kwa sababu, wengine huondoka kwa sababu. 🌷🤍 Usilazimishe mtu kubaki kwenye maisha yako kama nafasi yake imeisha. Wakati mwingine kumpoteza mtu ni mwanzo wa kupata watu watakaokuthamini, kukuheshimu na kukupa amani. 🥹❤️✨ #viral #foryoupage